Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

Huyu Baba Paroko mbona kakimbia kazi ya kanisa?
 

mbatia kwanza kibabu malove baadae
 
Slaa atuambie sababu iliyomfanya akafukuzwa upadri
 
pita zako punguani mkubwa,kutwa kujiuza kwa kambi za urais,mara Lowasa,Mako na leo Membe.achana na sisi tunaojielewa
 
Last edited by a moderator:
dr.slaa ni lina atafunga ndoa na josefin mushumbusi? Nilimchangia mchango wa harusi yake mpaka leo haijafanyika,,,kama harusi imemshinda aturudishie pesa zetu

hivi nifahamishe slaa yupo kwenye kundi la wale mapadre waliokuwa wanashinikiza papa kuoa na wakafukuzwa?
 
Kiukweli dr ndo kiboko ya ma ccm na tanzania
 
ungekuwa wewe ungeweza...

sana tu,lkn inaonekana huyu babu aliaza kuzini bado akitumikia madhabau ya mungu maana wanasema simba akila nyama ya binadamu ahachi hata cku moja atawamaliza,babu malovee oyeeee!
 
Mkuu Mungu akubariki kwa kuanzisha hii thread ya Rais wangu aliye kwenye mioyo mingi ya watanzania
 
Nilikuwa najiuliza kwa nini Dr.Slaa hatumii kifaa cha kutafsiri lugha anapokuwa manchi ya mbele.Kumbe anajua lugha 8
 

Acha wivu wa kike wewe mama.Uoni jinsi misukule inavyokimbilia ikuru kwenda kuiba ikiongozwa na jambazi sugu lowasa na joka la mdimu membe.Kinana mr tembo yuko anainda
 
Last edited by a moderator:
Dr.Slaa ni lina atafunga ndoa na Josefin Mushumbusi? Nilimchangia mchango wa harusi yake mpaka leo haijafanyika,,,Kama harusi imemshinda aturudishie pesa zetu

Ulitoa bei gani nikurushie
 

Wamekataa kuunganisha sasa,endelea kuugulia maumivu ya kukwanguliwa magamba kama samaki.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…