Hilo tatizo wakati mwingine linasababishwa na uchafu/ mchanga kuziba tundu la MIC ambalo mara nyingi kanakuwa katundu kadogo kwenye housing ya simu upande wa chini kwenye simu ama chini ya button. hilo tundu likiziba linasababisha kelele flani kwako wewe uliyepiga na kwa mtu wa upande wa pili. Waweza tumia ncha ya sindano kwa kuzibua tundu kwa uangalifu ile sindano isizame sana ndani inaweza ika haribu mic, TATIZO LIKIENDELEA WAONE MAFUNDI SIMU.