Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Nashindwa kubashiri kabisa.Nimjuavyo Dr.Slaa,ana mengi ya kusema hasa katika mazingira ya Jimbo la Chalinze lisilowahi kuonja upinzani katika uongozi wake. Dr.Slaa atatumia maneno gani na aina gani ya uwasilishaji wa mada zake leo Chalinze? Yaani,sipati picha kwakweli ya leo pale Chalinze.
Na Makamanda wengine nao watasemaje? Itakuwaje? Mlio huko Chalinze,msitunyime uhondo huo tafadhali
View attachment 145183Aanza kwa kuwaeleza wanachi kwanini anapenda kuzaa nje ya ndoa. Hapa akimlea Junior kijijini Ibwera huko Bukoba
Nashindwa kubashiri kabisa.Nimjuavyo Dr.Slaa,ana mengi ya kusema hasa katika mazingira ya Jimbo la Chalinze lisilowahi kuonja upinzani katika uongozi wake. Dr.Slaa atatumia maneno gani na aina gani ya uwasilishaji wa mada zake leo Chalinze? Yaani,sipati picha kwakweli ya leo pale Chalinze.
Na Makamanda wengine nao watasemaje? Itakuwaje? Mlio huko Chalinze,msitunyime uhondo huo tafadhali
Mfalme anakwenda kuwekwa uchi.