Dr.W.P.Slaa ataanza na lipi leo Chalinze?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,197
25,517
Nashindwa kubashiri kabisa.Nimjuavyo Dr.Slaa,ana mengi ya kusema hasa katika mazingira ya Jimbo la Chalinze lisilowahi kuonja upinzani katika uongozi wake. Dr.Slaa atatumia maneno gani na aina gani ya uwasilishaji wa mada zake leo Chalinze? Yaani,sipati picha kwakweli ya leo pale Chalinze.

Na Makamanda wengine nao watasemaje? Itakuwaje? Mlio huko Chalinze,msitunyime uhondo huo tafadhali
 
1. Ridhiwani ana utajiri wa utata,tulilisema hilo na ameshindwa kwenda mahakamani kama alivyoahidi

2....

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nashindwa kubashiri kabisa.Nimjuavyo Dr.Slaa,ana mengi ya kusema hasa katika mazingira ya Jimbo la Chalinze lisilowahi kuonja upinzani katika uongozi wake. Dr.Slaa atatumia maneno gani na aina gani ya uwasilishaji wa mada zake leo Chalinze? Yaani,sipati picha kwakweli ya leo pale Chalinze.

Na Makamanda wengine nao watasemaje? Itakuwaje? Mlio huko Chalinze,msitunyime uhondo huo tafadhali

View attachment 145183Aanza kwa kuwaeleza wanachi kwanini anapenda kuzaa nje ya ndoa. Hapa akimlea Junior kijijini Ibwera huko Bukoba
 
ni rahisi sana ! Anaweza kuanza na kuwaomba wananchi wakatae viongozi kuwarithisha watoto wao madaraka .
 
huo uwanja MAKAMANDA WAMEUSUBIRI kwa miaka mingi sana ! Hapo ndiyo mahali sahihi kabisa pa kuuzungumzia uozo wote wa nchi hii !
 
Ridhwani aeleze:
.Utajiri kiasi gani anao?
.Chimbuko/chanzo cha utajiri wake.
.Uhusika wake kwenye biashara ya sembe,mbinu alizotumia kukwepa/kuepuka kunyongwa China. Raslimali ipi ya nchi ilitumika kama rehani kuokoa maisha yake?
.Sifa zipi anazingatia wakati anaandaa orodha ya wakuu wa wilaya
Nk...
 
Nashindwa kubashiri kabisa.Nimjuavyo Dr.Slaa,ana mengi ya kusema hasa katika mazingira ya Jimbo la Chalinze lisilowahi kuonja upinzani katika uongozi wake. Dr.Slaa atatumia maneno gani na aina gani ya uwasilishaji wa mada zake leo Chalinze? Yaani,sipati picha kwakweli ya leo pale Chalinze.

Na Makamanda wengine nao watasemaje? Itakuwaje? Mlio huko Chalinze,msitunyime uhondo huo tafadhali

Kwamba wananchi wa Chalinze wasahau kuondokana na umaskini iwapo wataendelea kumchagu Mtu yeyote kutoka kwa chama cha wezi majambazi, waporaji wa rasilimali zao, chama kilichoshindwa kuwaleta maendeleo kwa zaidi ya miaka 50
 
Back
Top Bottom