Dr. Ulimboka hatukuelewi ! ! !

He, bado unangoja aseme, utangoja sana. Dr. alishasema mapema sana na hamjamuunga mkono kwa lolote. kwa hiyo kijana wa watu amesoma nyakati. anajuta kuwa mtz maana hakuna anaye ungana naye katika mapambano haya. watanzania wana LAANA YA WOGA NA UPUMBAFU. HALAFU NI WAMBEYA NAMBA MMOJA. NI MA NATO. NO ACTION TALKING ONLY[NATO]. HALAFU YAMEGAWANYIKA KINOMA. MAANDAMANO YA SIKU MMOJA TU SERIKALI INGEWAKAMATIA HAO WATU ALIOWATAJA DR. ULIMBOKA , NA KINGEELEWEKA. WATAWALA WA TZ WANAWAJUA WANAOWATAWALA. HEEEEE TZ ABIRIA CHUNGA NZIGO WAKO.
 
Upambanaji kazi sana, si kitu cha kitoto, tusubiri tuone!
 

Unamwongelea Zito?
 
Kwa kweli tulimlilia na kusikitika sana sana kwa yaliyomsibu Mtanzania mwezetu Dr Ulimboka. Tulitarajia kusikia mengi mara baada ya kupona na kurudi nyumbani. Lakini hadi hii leo bado yuko kimya. kwa kweli Dr umetukatisha tamaa sana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…