Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 2,973
- 3,901
kama habari hii ni ya kweli, basi nchi yetu iko njia panda. Si lazima viongozi wasubiri miaka 5, wanaweza kujiuzulu ili tupate viongozi wengine. Hii kashafa ni kubwa sana.
Kamanda aliyehusika kumtesa Dr. Ulimboka na mmoja kati ya watu wanaounda tume ya kuchunguza unyama aliofanyiwa Dr. Ulimboka ameaibika mara alipoingia chumba alicholazwa Dr. Ulimboka aliweza kumtambua na kumwambia "Nirudishie simu na wallet yangu".
Kamanda alitoka wodini kainamisha kichwa.
Source (Mimi mwenyewe-nilikuwepo)
Mbunge mmuja akkisema bungeni koplo wa JWTZ ni eqivalent na Inspector wa Police. Hata wao hawjionei huruma.

Duh!! Ina maana mkuu wa upelelezi kanda maalumu ya Dar es salaam ndiye kaongoza kitendo cha kinyama,kijinga na kipumbavu namna ile!!! Yaani Hemed Msangi amefirisika kiakili namna hiyo??! Bado siamini!
Alafu kwa jinsi nilivyosikia analindwa....WEWE ULIKUWAPO HAPO KAMA NANI?? Isije ukawa unatuchemsha tu!!!! Na kama ulikuwapo ulichukua hatua gani?? Au watu wengine waliokuwapo walichukua hatua gani?? Mlimuacha jamaa haondoke bila kusema kitu??Kamanda aliyehusika kumtesa Dr. Ulimboka na mmoja kati ya watu wanaounda tume ya kuchunguza unyama aliofanyiwa Dr. Ulimboka ameaibika mara alipoingia chumba alicholazwa Dr. Ulimboka aliweza kumtambua na kumwambia "Nirudishie simu na wallet yangu".
Kamanda alitoka wodini kainamisha kichwa.
Source (Mimi mwenyewe-nilikuwepo)
Haahaaaa duuuuuh!
sasa na nyie ***** tutaanza kuwaona namnagani vp... mlimuachaje atoke hapo salama kainamisha kichwa ~!@#$#%^&*(*
peleka hiyo analysis yako chooni, mshenzzi wewe! l told you yesterday,the day is near we will cut your rough scrotam which makes you talk foolish..as a a reminder to this garbage you keep posting!Mimi hadi kufikia hapa naona wahusika wameshakamatwa.
1. Kama ni kweli wahusika walimpigia simu basi tayari vyombo husika vimeshapata taarifa zao hivi tunavyoongea. Sasa isijekuwa waliokutana na Dr Ulimboka waliompigia simu watu wengine na waliokuja kumchukua wengine.
2. Kama kweli walimteka kwa gari wakaondoka nae na bila kuficha nyuso zao identification ni 100% possible.
3. Kuna kila dalili kwamba Dr alishafanya mazungumzo mara nyingi na hao wahusika walikuwa wanazungumza nini? Je Ulimboka aki stabilize ataweka wazi habari zote? au na yeye ataficha ficha ili tusijue yaliyomsibu? Je hawa waliokuwa wanazungumza nae wanahusiana na wale waliomchukua? ( sio kumteka)
Kamanda aliyehusika kumtesa Dr. Ulimboka na mmoja kati ya watu wanaounda tume ya kuchunguza unyama aliofanyiwa Dr. Ulimboka ameaibika mara alipoingia chumba alicholazwa Dr. Ulimboka aliweza kumtambua na kumwambia "Nirudishie simu na wallet yangu".
Kamanda alitoka wodini kainamisha kichwa.
Source (Mimi mwenyewe-nilikuwepo)
Du huyu Msangi, Mpare aliyetoka Dodoma akaenda Moro baadae Dar hii kali naona Dr atawatambua wote wauaji wake na nani kawatuma kwa Dau gani
Dr Ulli ugua pole
peleka hiyo analysis yako chooni, mshenzzi wewe! l told you yesterday,the day is near we will cut your rough scrotam which makes you talk foolish..as a a reminder to this garbage you keep posting!
Mbunge mmuja akkisema bungeni koplo wa JWTZ ni eqivalent na Inspector wa Police. Hata wao hawjionei huruma.
MwaJ kuna baadhi ya hao wanaomhudumia yawezekana wakawa ni watu wa system, kaazi kwelikweli.