DR SLaa zingatia sana diet!

Wazo zuri sana..
kama hawezi kuzingatia diet ..afanye au aogeze mazoezi...
 
Awam hii tunahitaji kuongozwa na kiongozi tumechoka kutawaliwa na watawala na sio viongozi
tumewachoka kundi la majambazi/wanyang'anyi.
 
na mama josephine asiache kuwa anampa ile kitu roho inataka huyu lovely presdaa wetu 2015.Nalog off

Ha ha haaaaaaaa mbavu zangu haziko salama, kwa hiyo mama anavyojitoa siyo faida ya mzee peke yake bali pia ni kwa maslahi ya future ya Taifa zima Da!!
 
Hii inadhihirisha hayuko nasi walalahoi....hawazi matatizo yetu.....
 
vipi akila ugali nyama kila siku na kushushia na serengeti kadhaa baridi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…