Naona simsikii sana siku hizi huyu mbunge wa zamani wa karatu. Yupo?
Ana mpango wa kugombea tena urais au atarudi karatu kuendelea na shughuli ya ubunge?
Mimi naona tangu agaragazwe na Kikwete mwaka jana; amekuwa low profile sana; ukiachilia vurugu za uchochezi anazofanya za hapa na pale. Anyway, he would have made a better MP and Leader of the Opposition than Kijana Aikaeli.