Dr. Slaa: Wakorofi CHADEMA ni Wajinga

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Ni kauli nzito iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr. W. Slaa baada ya kushutumiwa pamoja na Mwenyekiti wake juu ya uvujaji wa mamilioni ya chama hicho.

Ametoa kauli hiyo na kusema wasome katiba vizuri.





Source: Raia Tanzania

 

Attachments

  • 20140624_085321.jpg
    32.1 KB · Views: 4,408
Tushawazoea,endeleeni kubwabwaja tu!
 
Kweli ni wajinga.

Hasa hao wanaotoa matamko yasiyokuwa na maana, matamko yao yanalenga kukivuruga chama,maana kama kweli wameona viongozi wajuu wsmeshindwa kukiongoza chama. Wangesubiri vikao vyao vua ndani wawaseme huko,kwa mtindo huu wanaoutumia unaonesha kabisa wao ndiyo hawafai au ni wachumia tumbo wanaotumiwa na watu, hoi yote ni sababu ya umaskini ulioletwa na ccm.

Ama kweli mtaji wa ccm ni umaskini na ujinga wa watanzania,

Nawashauri nyie watu wa matamko,kwa namna hiyo mnayofanya hamwezi kumkomboa mtz
 
wakuu, ujinga siyo tusi, mjinga ni mtu ambaye hajui kitu flani na anajua kama hajui lakin akielekezwa atajua, sasa sidhani kama watu wote wanajua kila kitu.. kwa vile hakuna m2 anaejua kila kitu basi sisi wote ni wajinga na wapumbavu
 
mupumbavu ndo mbaya kuliko mjinga, coz -------- yeye hajui, na hajui kwamba hajui na hawezi kuelekezwa akaelewa..
 
Hii sacos sasa inaelekea kubaya sana shimo liko karibu watadumbukia shimoni mapema kabisa.
 
mi sioni kosa lolote kuitwa mjinga, kila mtu ni mjinga kwa mambo flaniflani, hata dr slaa naye ni mjnga, kikwete naye ni jinga, yaani kila mtu ni mjinga inategemea na eneo au nyanja flani flani
 
Vijana wa tanzania tungeweza kutumia hii mitandao kujenga hoja nk..ingetisaidia sana..lkn tunaitumia kwa majungu na mipasho ni shida
 
ccm sasa naona wameishiwa sera, tuambieni mumefanya nini kuwaletea maendeleo watz na siyo upuuzi kama huu.
 
Cdm ni janga mtu akitafuta haki zake anambiwa katumwa
Ukibanwa na uongozi na unaona hawasikii pakupazia sauti lako ww mnyonge ni media tu
Kama mnaona walewauni si wanachama wenu kanusheni muwakatae hapa

Bado mnajipambanuwa nyie ndio wana democrasi ilhali ndani ya vyama vyenu hakuna democrasia
 
mi sioni kosa lolote kuitwa mjinga, kila mtu ni mjinga kwa mambo flaniflani, hata dr slaa naye ni mjnga, kikwete naye ni jinga, yaani kila mtu ni mjinga inategemea na eneo au nyanja flani flani

hata uyoga uliota kama mchicha!
 
kwani ujinga ni tusi??? wewe na wasiwasi na elimu yako, kila mtu ni mjinga tu, hata rais wetu ni mjinga, hata wasomi kama maprofesa ni wajinga tu. au hujui maana ya ujinga?

na mtaitwa wajinga hadi kieleweke!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…