kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,075
- 1,549
Kunani Huko Uhuru Wazalendo wenzangu?
jana alipotia timu bungeni ilikuwaje.........hata ccm walishangilia
wewe ni PA wake? au shosti wa mchumba wake?Slaa anachotaka ni kuingia Ikulu. Masuala ya maisha ya watanzania ya kila siku hana interest nayo. Hawezi kuja kuwaona wahanga kwa sababu yuko busy na masuala yake binafsi. Kama mna shida naye sana niandikieni PM niwape namba yake ya simu mumpigie.
Na wewe ni PA wake? kwa nini asiweze kuoa?
Naona wewe ndo umeajiriwa kwa ajili ya kudiscuss personalities and mambo binafsi yanayohusu chupi za wapinzani.
LOW!!