Dr Slaa rudi ccm uwatetee maskini!

Dr Slaa rudi ccm uwatetee maskini!

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Hakuna atakayekushangaa katika hili.
Tunaujua msimamo wako dhidi ya mafisadi papa!
 
Ni kweli. Dr Slaa ni vyema ajitenge na hao Wachaga waliouza chama kwa bil. 10
 
Nyie pigen kelele tu wapi slaa kalalamika na jana walikuepo wote pale Kilimanjaro kwenye baraza kuu la chadema pamoja na lowasa
 
Mkuu slaa usiwasikilize hao maccm wanawafitini lengo no kuiondoa sio mafarakano
 
Slaa yaliyompata lowassa akiwa ccm unayajua wasikudanganye we we in mwanamageuzi
 
Makwazo Ya Mchungaji Hayawezi Kukutenganisha Na Mungu Eti Uende Kwa Shetani Hayo Ni Majalibu Na Hana Budi Kuyashinda Na Kuendelea Na Ukombozi Wa Taifa Hili
 
Back
Top Bottom