Ndio hivyo mkuu...ina maana tuhuma zote dhidi ya wanaccm zinafutika rasmi.
Hili ni suala muhimu kwa sasa.
Njoo ukanushe suala hili labda watanzania watakuelewa.
Njoo na facts mkuu!
Usije na porojo kama Mbowe!
Lowassa alikwishasema: Ricmond = Jakaya Kikwete!
Ukweli ni kwamba CHADEMA wamechemsha na kipindi hiki watakimbia midahalo. Huyu Mbowe ndiye aliyetwambia kuwa Lowassa ni bubu leo bubu anapewa nafasi kugombea urais. Ama kweli Zitto ndie real politician kwasasa.
Lowassa hakuwahi kuiba hata senti tano ya ya nchi hii!
Upo sawa mkuuUkweli ni kwamba CHADEMA wamechemsha na kipindi hiki watakimbia midahalo. Huyu Mbowe ndiye aliyetwambia kuwa Lowassa ni bubu leo bubu anapewa nafasi kugombea urais. Ama kweli Zitto ndie real politician kwasasa.
Weka akiba ya maneno usijekuumbuka!