Ccm wenzenu walishajipanga kimkakati ndio mana mnaona wako kimya tu wanawachora tu nyie mnaonza kujipanga sasa na mgombea aliuzwa kwenu kwa mkopo toka ccm baada ya kumuona mzigo.Nayakumbuka maneno ya mzee sitta- "chadema ina safu nyembamba ya uongozi"
Tatizo la chadema ni safu nyembamba ya uongozi ndio mana inaokoteza wagombea,haiko tayari kushika dola ila lowassa atawasaidia tu kujiongezea ruzuku kupitia wabunge,muitumie kujenga ofisi,mumbane mbowe aache kula ruzuku ajenge ofisi kila mkoa sio kupanga
Watu wote wasiyo penda mabadiliko watakuwa kwenye wakati mgum sana Tanzania maana wanchi wanakiu sana ya kuondoa ccm inayouza nchi kila siku huku wananchi wakipoteza haki zao za msingi kwaiyo dr inabidi awe makini sana
Mnacheza ngoma msioijua, punguzeni mbwembwe! Haiwezekani RAIA Tanzania wapate press conference ya wao peke yao! Kuondoka Kwa Dr Slaa, haihitaji uchunguzi ni kila chombo cha Habari kitatatoa habari hiyo! Propaganda machine at work!
Huyu mzee si alishasema jaman kwamba kama kuna lolote ataita press conference ss mbn anaongelea uvunguni.alaf anatishwa na ccm kwamba asiendelee kungangania kuweko Chadema ama anatishwa nn na kama kwli mbn ni kama anatafta umaarufu kimtindo
Chama kikuu cha upinzani Tanzania hakina access na katibu wake mkuu na wala hakionyeshi jitihada za kujua aliko kiko busy na Yule kiliemuita fisadi for years!