masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,119
Sipati picha jamaa wa Form Four akimpa ushauri ulioenda shule, Dr wa Divinity(PhD) na akamkubalia!!Mh Mbowe amesema, ametumia kila njia kumshauri na pia kutumia kila njia kumshawishi Dk Slaa lakini wameshindwa.
Chanzo: Uhuru
dr tunaomba arudi
Wapishane tu kama vipi. Lowassa amekuja cdm basi slaa aondoke zake maana nafsi huenda inamsumbua kuwa asiwe mnafiki kupretend anakubaliana na uamuzi wa kumpokea Lowassa na straight kumpa ugombea urais wakati slaa ametoka jasho na amehatarisha maisha yake kujenga chama. Chadema waheshimu uhuru wa mawazo sio mbowe ndo awe kila kitu. Sasa mnaona why zitto aliwapisha. Yanawarudia.
Mh Mbowe amesema, ametumia kila njia kumshauri na pia kutumia kila njia kumshawishi Dk Slaa lakini wameshindwa.
Chanzo: Uhuru
Dr.,Slaa ameona ukombozi wa nchi unakaribia anajidai kususa,, Huyu ni kibaraka wa CCM.
mahesabu ya kuuza ndizi na maparachichi na yale ya kuongoza watu ni vitu viwali tofauti kama mbingu na dunia!
Mbowe anafikiri kila kitu ni biashara ya bidhaa! Mfano wa maji kupwa na maji kujaa ni dhaifu sana na inaonekana hajui fasihi kabisa. Anajiridhisha kwamaba anajua sana kuongea(orator) lakini hakuna kitu anabwabwaja tu! Dr slaa anaelewa vema na anamaadili ndio maana hataki ujinga. Mnajaribu kufunika sana kwamba eti anapumzika!! Ha!ha! Ukweli utatoka tu wala si muda mrefu na hasa subiri mkiangukia pua mwezi okctoba! Dk hashawishiki kwa mambo ya kiusaliti kama haya!
Viva daktari! Viva tanzania. Biashara ya maparachichi si biashara ya siasa!
ashapigwa teke yupo mtaro wa mavi mchukue ukamsafishe
ninachoamini mda bado unaruhusu