assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
-
- #201
mkuu...dk wamemuonea sana...wamemkatalia kuchukua form alafu wanasema kesho wanaenda kukaa kikao cha kupitisha mgombea mmoja..amakweli hiki ni chama cha demoghasia na malumbano
slaa hana ubaya....zitto hana ubaya.....mbowe ndio mbaya
mmechemsha dr. Slaa haondoki cdm na ukawa itawapwerepweta sana mwaka huu.
Jamani eleweni chadema ni chama MASLAHI, wameangalia maslahi kwa Lowasa lkn siyo kuwatetea wananchi hata siku moja. Na chadema hakuna Demokrasia kama wanavyojinadi. Haiwezekani mtu aingie siku moja tu tena baada ya kutoswa alikokuwa kisha mnampa kipaumbele kuliko waliokitoa chama mbali! Hii haiingii akilini kwa watu makini. Ndo maana Slaa kaduwaa hajui afanyeje mzee wa watu. Lazima itakuwa anagundua sasa kwamba Zito alikuwa sahihi ila hawezi kusema kwa kuwa anaogopa kula matapishi. Hiyo inabaki moyoni mwake tu
Hili jambo kama movie vile ili raia wasiongelee kabisa ishu za CCM na Magufuli...
slaa kapewa likizo yalazima
Dr.Slaa sasa unataka tuamini kuwa sio mwana mageuzi Wa kweli wakati tunahangaika kuimarisha timu ya ushindi wewe unatudhohofisha? Hakika unashangaza sana
Tusonge mbele tutashinda Mungu yupo upande wetu .uwezi jua labda Mungu ametuepushia kitu .Dr.Slaa sasa unataka tuamini kuwa sio mwana mageuzi Wa kweli wakati tunahangaika kuimarisha timu ya ushindi wewe unatudhohofisha? Hakika unashangaza sana
Atakaporejea kutoka wapi,kwani kasafiri? Si yupo hapahapa dar!
Hivi mtu anasema tuachie wenyewe ugomvi huu,kwani anadhani kile ni chake yeye na baba yake au?