singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
Kwa hii propaganda mfu utawangoja wale wajinga mnaowanunulia wali,t-shirt na kanga. Kwa bahati mbaya hata hiyo dini mliyoitumia kuaminisha Dr. Slaa ataongoza kwa njia za kanisa nao hiyo mahakama imewashinda kuwapa. Huu uzi wako unaonyesha jinsi mlivyopanic na sasa imebidi mpeleke miswaada mingi ya dharura ambayo haijajadiliwa na wadau na kwa bahati nzuri wengi tumewashtukia, sasa inabidi mtumie zile njia zenu mlizokuwa mkidanganya wananchi eti upinzani utaleta vita. Jitahidini hivyohivyo na hizo propaganda kwani ndio ziliwowalemaza na sasa ndio imeanza kula kwenu.[/QUOTE
Yaani hawa jammaa wanakeera saana
Huyu jamaa anajua kwamba sheria ya uharifu wa mitandao imepitishwa jana na kwa habari kama hii akishindwa kuithibitisha ukweli wake atachezea mvua. Hii sheria itakula kwa magamba zaidi maana ndiyo watakao leta habari za uzushi hapa jukwaani! Huyu jamaa kutumia jina bandia ndo kajificha unajidanganya uongozi wa jamiiforums wakitakiwa kutoa details zako kama sheria mpya inavyowalazimisha utashangaa utakavyokamatwa kama kuku bandani!kaaa mbali na watoto hii habari haina ukweli wowotee tenaa haifai hata kusomaa naona ni uchafu adm ondoa hii habari haifai
hilter alikuwa kiongozi wa chama cha nazi cha ujerumani, kuna wakati fulani alikamatwa na kufungwa jela kwa kujaribu kuipindua serikali halali ya ujerumani iliyokuwepo wakati huo.
Wakati hilter akiwa jela alitunga kitabu ambao alielezea namna ya kuwakwamua kiuchumi wajerumani kitabu hicho kilichangia sana kumpa umaarafu aldof hitler, baada ya kutoka jela hitler aliendelea na shughuli zake za kisiasa kama kawaida ya wanasiasa wengine.
Ulipofikia wakati wa uchaguzi mkuu wa ujerumani hitler aliwatumia viongozi wa dini ili kujijengea uwezo na kukubalika ili aweze kupigiwa kura ya ndio itakayomuezesha kwenda ikulu ya wajerumani.
Kwa kipindi hicho ujerumani ilikuwa na madhehebu makubwa mawili ya kikristo, ambao ni wakatolic na walutheran, hitler alikwenda kwa walutheran na kuwaahidi kama watamuunga mkono alifanya dhehebu hilo kuwa kubwa na lenye nguvu duniani kote kwa kuwa alikuwa na mpango wa kuifanya ujerumani kuwa superpower.
Hivyo hivyo aliwafata waroman catholic na kuwaahidi hivyo hivyo ikumbukwe kuwa madhehebu hayo yalikuwa na ushindani mkubwa katika nchi hizo, hitler aliaminika sana na viongozi wa dini hiyo kwa kuwa amelelewa katika nyumba iliyokuwa imefuata mafunzo na imani ya dini ya kikisto na ikumbukwe kuwa mama krala ambaye ni mama mzazi wa aldof hitler alikuwa muimbaji maarufu ya muziki wa injili nchini ujerumani kote.
Hitler pia aliwashawishi wayahudi kwa ahadi ya kuwapa ardhi ya kuishi ikiwa watamuunga mkono katika harakati zake za kisiasa, wayahudi wakamuunga mkono na hitler alivyofanikiwa wayahudi wakaanza kumkumbushia ahadi yake kwao, akawageuka na kuanza kampeni za kuwaangamiza na aliwauwa wayahudi milioni 6.
Tukurudi hapa nyumbani inasemakana katibu mkuu wa chama cha maendeleo na demokrasia, chadema amekuwa akiwatumia viongozi wa dini mbalimbali hususani wakristo wamsaidie katika harakati yake ya kwenda ikulu pale magogoni.
Hali hiyo ilisababisha mtafaruku mkubwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 ambao maaskofu walitoa waraka wa rais wanayemtaka, kwa sisi wakristo tuliambiwa na viongozi wetu wa dini kuwa twende tukampigie kura ya ndio muumini mwenzetu ingawa hakutajwa jina lakini kwa wenye akili timamu tulijua huyo muumini mwenzetu ni nani.
Hivi karibuni jukwaa la wakristo na baraza la maaskofu walitoa waraka wa kuwataka waumini wao wakapige kura ya hapana katiba pendekekezwa ambapo baada kardinali pengo alipinga jambo hilo na kuwataka waumini waache wafanye maamuzi yao wenyewe kuwamulia waumini ni sawa na kuwadharau waumini na kuwafanya watoto wadogo.
Siku chache baadae baadhi ya magazeti ya kila siku na mengine ya kila wiki yarilipoti kuwa katika kauli ya maaskofu kulikuwa na mkono wa dr. Slaa nyuma ya pazia, inasemekana ana urafiki wa karibu na padre vic missie amabye amekuwa akitumiwa na dr. Slaa kufikia malengo yake ya kisiasa kwa viongozi wa dini.
Parde huyo raia wa ubergij ambaye inasemekana ndiye aliyeandaa tamko hilo ambalo lilipitishwa na baraza la maaskofu tanzania {tec), jukwaa la wakristo tanzania pamoja na baraza la makanisa ya kipentekoste {cpct}
cha kushangaza mpaka sasa si dr. Slaa wala maaskofu waliokana taarifa ya magazeti hayo, swali langu kwa dr. Slaa je anataka kutumia mbinu ya hitler kwenda ikulu? Kama ni kweli dr slaa jua kwamba watanzania hatupendi siasa za kutuletea ghasia kama za hilter na kuondoa utulivu wa amani tulionao hapa nchini, pia wanasihi watanzania wenzangu tusiwaunge mkono wataka urais amabo wanatumia njia chafu zitakazogharimu taifa letu.
Usije jitwalia laana kwa kuwawekea maneno viongozi wa madhehebu walotoa tamko kwa kusema wameandaliwa lile tamko. Nakusihi katika jina la Yesu acha kuwawekea maneno midomoni watumishi wa Mungu. Tuendeshe siasa zenye tija kwenye Taifa letu na si siasa za namna hii. Utabeba laana. Na Mungu akusamehe.
Hilter alikuwa kiongozi wa chama cha Nazi cha ujerumani, kuna wakati fulani alikamatwa na kufungwa jela kwa kujaribu kuipindua serikali halali ya ujerumani iliyokuwepo wakati huo.
Wakati hilter akiwa jela alitunga kitabu ambao alielezea namna ya kuwakwamua kiuchumi wajerumani kitabu hicho kilichangia sana kumpa umaarafu Aldof Hitler, baada ya kutoka jela Hitler aliendelea na shughuli zake za kisiasa kama kawaida ya wanasiasa wengine.
Ulipofikia wakati wa uchaguzi mkuu wa ujerumani Hitler aliwatumia viongozi wa dini ili kujijengea uwezo na kukubalika ili aweze kupigiwa kura ya ndio itakayomuezesha kwenda ikulu ya wajerumani.
Kwa kipindi hicho ujerumani ilikuwa na madhehebu makubwa mawili ya kikristo, ambao ni wakatolic na walutheran, Hitler alikwenda kwa Walutheran na kuwaahidi kama watamuunga mkono alifanya dhehebu hilo kuwa kubwa na lenye nguvu duniani kote kwa kuwa alikuwa na mpango wa kuifanya Ujerumani kuwa Superpower.
Hivyo hivyo aliwafata waroman catholic na kuwaahidi hivyo hivyo ikumbukwe kuwa madhehebu hayo yalikuwa na ushindani mkubwa katika nchi hizo, Hitler aliaminika sana na viongozi wa dini hiyo kwa kuwa amelelewa katika nyumba iliyokuwa imefuata mafunzo na imani ya dini ya kikisto na ikumbukwe kuwa mama Krala ambaye ni mama mzazi wa Aldof Hitler alikuwa muimbaji maarufu ya muziki wa injili nchini ujerumani kote.
Hitler pia aliwashawishi wayahudi kwa ahadi ya kuwapa ardhi ya kuishi ikiwa watamuunga mkono katika harakati zake za kisiasa, wayahudi wakamuunga mkono na Hitler alivyofanikiwa wayahudi wakaanza kumkumbushia ahadi yake kwao, akawageuka na kuanza kampeni za kuwaangamiza na aliwauwa wayahudi milioni 6.
Tukurudi hapa nyumbani inasemakana katibu mkuu wa chama cha maendeleo na demokrasia, Chadema amekuwa akiwatumia viongozi wa dini mbalimbali hususani wakristo wamsaidie katika harakati yake ya kwenda ikulu pale magogoni.
Hali hiyo ilisababisha mtafaruku mkubwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 ambao maaskofu walitoa waraka wa rais wanayemtaka, kwa sisi wakristo tuliambiwa na viongozi wetu wa dini kuwa twende tukampigie kura ya ndio muumini mwenzetu ingawa hakutajwa jina lakini kwa wenye akili timamu tulijua huyo muumini mwenzetu ni nani.
Hivi karibuni Jukwaa la wakristo na baraza la maaskofu walitoa waraka wa kuwataka waumini wao wakapige kura ya hapana katiba pendekekezwa ambapo baada kardinali Pengo alipinga jambo hilo na kuwataka waumini waache wafanye maamuzi yao wenyewe kuwamulia waumini ni sawa na kuwadharau waumini na kuwafanya watoto wadogo.
Siku chache baadae baadhi ya magazeti ya kila siku na mengine ya kila wiki yarilipoti kuwa katika kauli ya maaskofu kulikuwa na mkono wa dr. Slaa nyuma ya pazia, inasemekana ana urafiki wa karibu na padre Vic Missie amabye amekuwa akitumiwa na Dr. Slaa kufikia malengo yake ya kisiasa kwa viongozi wa dini.
Parde huyo raia wa ubergij ambaye inasemekana ndiye aliyeandaa tamko hilo ambalo lilipitishwa na Baraza la Maaskofu Tanzania {TEC), Jukwaa la wakristo Tanzania pamoja na Baraza la makanisa ya Kipentekoste {CPCT}
Cha kushangaza mpaka sasa si Dr. Slaa wala maaskofu waliokana taarifa ya magazeti hayo, swali langu kwa Dr. Slaa je anataka kutumia mbinu ya Hitler kwenda ikulu? Kama ni kweli Dr Slaa Jua kwamba watanzania hatupendi siasa za kutuletea ghasia kama za Hilter na kuondoa utulivu wa amani tulionao hapa nchini, pia wanasihi watanzania wenzangu tusiwaunge mkono wataka urais amabo wanatumia njia chafu zitakazogharimu taifa letu.