- ha! ha! ha! Unguja
na Songea hamna Matawi, lakini mnakimbilia DC Washington kwenye
wanachama wanne ni dalili za matatizo kwenye kufikiri, na kila asiye na
mawazo mgando kama yenu ni muuza unga au shoga, ha! ha! ha! lazima hicho
ni chama cha Mashoga so mnadhani kila mtu ni shoga, jibu hoja mkuu! ha!
ha! ha! ha!
Le Mutuz
Haji kuwahutubia CHADEMA; Anakuja "KUONGEA" NA "WATANZANIA." Kwa maana nyingine anakuja "KUBADILISHANA MAWAZO NA WATANZANIA"
Dr. Slaa jiandae majibu ya hoja hii " Kwanini ulitelekeza Mke na watoto wako kwa Mwanamke mwingine"? Je hauoni hiyo ni sifa na mfano mbaya kwa viongozi mbele ya watu wenye tabia kama hiyo?
Ataunguruma kwani ye simba....?
Sana sana ata... miiieeeeooow...!!!!!Ataunguruma kwani ye simba....?
Dr. Slaa jiandae majibu ya hoja hii " Kwanini ulitelekeza Mke na watoto wako kwa Mwanamke mwingine"? Je hauoni hiyo ni sifa na mfano mbaya kwa viongozi mbele ya watu wenye tabia kama hiyo?
Wasingemuuliza Obama his Birth certificate, Soma siasa acha mambo ya kudandia. Uongozi wa jamii lazima uangalie mambo yanayo husu Umma. Kumtelekeza Mke na watoto hilo ni tatizo kubwa katika jamii.Watu kule hawazungumzii watu binafsi. Kama ni watu binafsi wewe zungumzia Kinana msomali daktari wa kung'oa meno ya tembo wa Tanzania.
Acha dharau kwa wanawake, kutelekeza watoto ni kosa kubwa sana hapa Bongo. Tuna watoto wa mitahani ambao wametokana na vidume kama wewe ambao mmekuwa sperm donner badala ya kuwa Baba.Alikutelekeza kwa sababu ulibweteka ukawa hujali ndoa,humjali mumeo,kumbuka mwanamke -------- huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe,hukuijali ndoa yako ndio maana mumeo akaondoka,ukiolewa tena na mume mwingine jitahidi kumjali mama.....!
Dr. Slaa jiandae majibu ya hoja hii " Kwanini ulitelekeza Mke na watoto wako kwa Mwanamke mwingine"? Je hauoni hiyo ni sifa na mfano mbaya kwa viongozi mbele ya watu wenye tabia kama hiyo?
Go F yourselfAlitaka kukuoa wewe,.
Wasingemuuliza Obama his Birth certificate, Soma siasa acha mambo ya kudandia. Uongozi wa jamii lazima uangalie mambo yanayo husu Umma. Kumtelekeza Mke na watoto hilo ni tatizo kubwa katika jamii.
watu kule hawazungumzii watu binafsi. Kama ni watu binafsi wewe zungumzia kinana msomali daktari wa kung'oa meno ya tembo wa tanzania.
View attachment 111242
Mkutano na Dr. Willibrod Slaa Jijini Washington DCSource: CHADEMA DIASPORA : Dr. Slaa kuunguruma Washington D.C. Sept. 22, 2013
Viongozi na wanachama wa CHADEMA DMV wanapenda kuwakaribisha Watanzania
wote Kuhudhuria mkutano na Dr. Willibrod Slaa utakaofanyika Siku ya Jumapili
September 22, 2013 Mida ya 1😛m Mchana hadi 6😛m
Adress: 1401 Unirvesty Blvd. Langley Park. Md 20783 (Mirage Hall)
Karibuni tuje tujadiliane kuhusu maendeleo ya nchi yetu.
Maelezo zaidi wasiliana na Liberatus "Libe" Mwang'ombe (240) 423-3331 Baby Mgaza (202) 200-5031,
Hussein Kauzela (614) 653 - 1137
waTanzania wote mnakaribishwa