Dr Slaa kutikisa Singida

Wewe molemo huaminiki tena, Vipi ule mkutano wa Ufipa?
 
nataka ujue kuwa swala la kigoma halifananishwi na la singida,maana kigoma c .c.m mliweka mamluki wa mikoani kuharibu mikutano ya raisi slaa.
Ziara ya kigoma nilikuwepo kila kitu nakifahamu na mipango ovu yote ya ccyem niliijua.
Lazma we ni selule... Pekenyua posts zangu humu zaidi ya elfu ishirini, ukikuta mie nasapoti ccm natoa laki mbili jf right away

uselule utakuua
 
Sasa hapo ndipo mtakapo ona utofauti wa kinana na Dr. Slaa
 
Kimsingi hakuna mtu yeyote ccm wanamuogopa kama Dr. Slaa!! Na nawahakikishia WATANZANIA HUYU MTU TUTAMJUTIA BAADAE! Mtu huyu ni lulu ya pekee Tz.
 
Anakuja Kama UKAWA au? Maana siku hizi hakuna chadema wala CUF wala NCCR Mageuzi watu wanajua Kama UKAWA!

Hii ni hatari sana kwa ustawi wa nyama vyenu vya msimu kwani athari yake mtaiona muda si mrefu! Babu anakuja Singida kufanya nini? Hali ya Tundu Lissu ni mbaya zaidi hata jopo la madaktari haliwezi kurudisha uhai wake!

Pia Molemo umesema Tarehe 1-4 then unasema Jumapili ya tarehe gani? Angalia calendar vizuri ndugu yangu acha kukurupuka!
 
kuweni makini na vitu vyenye ncha kali.viva chadema
 

Unaonyesha ulivyo -------- kwa ushenzi ulioandika
 

Tupo pamoja endelea kutujuza panapokuwa na habari.
 
Pamoja sana mkuu.Notawaletea kila atakochofanya Rais mtarajiwa..!!
Vizuri sana, najua MaCCM tumbo joto sana, uchaguzi uliopita aliwavuruga sana safari hii Dr Slaa hataomba kura bali kuwakumbusha wananchi jukumu lao la kulinda.
 
Hatuna haja ya kulumbana nao. Sisi ni kazi tu, Chadema ni moto wakuotea mbali. Dr. Gooooo
 
Vizuri sana, najua MaCCM tumbo joto sana, uchaguzi uliopita aliwavuruga sana safari hii Dr Slaa hataomba kura bali kuwakumbusha wananchi jukumu lao la kulinda.

Ni kweli Kamanda.Hakuna hata kura moja itakayokwapuliwa mwakani! Patachimbika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…