Dr Slaa kutikisa Singida

Babu yako kakuzalia nani kati ya baba na mamako?? Au unakopi akili za nepi na gaidi mwigulu??
Dogo... Unajua mlengo wangu katika siasa? I hate guesswork ila Slaa and chdema walihitaji muda, wajipange ndio wazunguke... Hizi kneejerk reactions are useless, tuliona hata wakati wa zitto

haya kopi na hoyo basi we selule
 
dogo... Unajua mlengo wangu katika siasa? I hate guesswork ila slaa and chdema walihitaji muda, wajipange ndio wazunguke... Hizi kneejerk reactions are useless, tuliona hata wakati wa zitto

haya kopi na hoyo basi we selule

nataka ujue kuwa swala la kigoma halifananishwi na la singida,maana kigoma c .c.m mliweka mamluki wa mikoani kuharibu mikutano ya raisi slaa.
Ziara ya kigoma nilikuwepo kila kitu nakifahamu na mipango ovu yote ya ccyem niliijua.
 
My prayers are with thee!

Siku na si mbali macho yote hayataamini kitakachotokea, keep on pressing lakini trust your instincts!
 
Dr Slaa ndiye rais wetu ajaye,ni mtu makini,mzalendo,mwenye uwezo wa kuwashughurikia wahujumu uchumi wote! Watz tunamuhitaji Dr Slaa sasa kuliko kipindi chochote ili taifa litoke kwenye huu mkwamo.
 
KAMANDA TUNAKUSHUKURU SANA KWA TAARIFA HII , KIUKWELI WANANCHI WA SINGIDA NI KAMA WAMEBAhATIKA MNO KUTEMBELEWA NA MKOMBOZI HUYU .
 
Wakati Chama makini kikiendelea na ziara zake kupitia Katibu mkuu wake na Mwenezi, Wapinzani wanatembea nchi nzima. si lipumba, Mbowe wala Slaa. Namuonea huruma Kinana kwani anakula vumbi jingi huku chama akiachiwa pekee yake.

inasemekana anajipanga kugombea URAIS 2015 ! KWELI CHAMA CHAKAVU hakina mwenyewe !
 
Dr Slaa ndiye rais wetu ajaye,ni mtu makini,mzalendo,mwenye uwezo wa kuwashughurikia wahujumu uchumi wote! Watz tunamuhitaji Dr Slaa sasa kuliko kipindi chochote ili taifa litoke kwenye huu mkwamo.

umeandika ukweli mno ! Kwa niaba ya familia yangu naomba nikushukuru sana .
 
pamoja na wengine KUVAA KATAMBUGA ILI KUWADANGANYA wananchi lakini DR SLAA atakwenda kuondoa utapeli wao .
 
Dr Slaa ndiye rais wetu ajaye,ni mtu makini,mzalendo,mwenye uwezo wa kuwashughurikia wahujumu uchumi wote! Watz tunamuhitaji Dr Slaa sasa kuliko kipindi chochote ili taifa litoke kwenye huu mkwamo.

Pamoja sana Kamanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…