N nkongu ndasu JF-Expert Member Joined Jan 19, 2013 Posts 22,532 Reaction score 6,628 May 31, 2014 #21 T2015CCM said: mabingwa wa kupotosha Click to expand... ...kama wapotoshaji wakubwa kama ccm walahi!...
T2015CCM said: mabingwa wa kupotosha Click to expand... ...kama wapotoshaji wakubwa kama ccm walahi!...
B bujash JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 3,465 Reaction score 424 May 31, 2014 #22 aminangalo said: Kachelewa Sana lisu yupo uchi kule slaa akapumzike na wifi yetu mushumbuzi Josephine Click to expand... kichaa kinakuandama,soon utaokota makopo! Motto wa Dr hauwezi kuzimwa na jangili
aminangalo said: Kachelewa Sana lisu yupo uchi kule slaa akapumzike na wifi yetu mushumbuzi Josephine Click to expand... kichaa kinakuandama,soon utaokota makopo! Motto wa Dr hauwezi kuzimwa na jangili
Sangarara JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 13,104 Reaction score 5,665 May 31, 2014 #23 Ngonja niwajulishe wanyampaa mapema.
B bujash JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 3,465 Reaction score 424 May 31, 2014 #24 T2015CCM said: kumbe slaa ni mwanga, anaenda kupuliza uchawi singida...hatudanganyiki Click to expand... Hudanganyiki nini wewe Yahaya usiyejua hata unaishi wapi!? Umegeuza makorido ya lumumba kuwa makazi yako! Uzuri kadri siku zinavyozidi kwenda wapuuzi mnazidi kubaki wachache,Watz wanazidi kujitambua
T2015CCM said: kumbe slaa ni mwanga, anaenda kupuliza uchawi singida...hatudanganyiki Click to expand... Hudanganyiki nini wewe Yahaya usiyejua hata unaishi wapi!? Umegeuza makorido ya lumumba kuwa makazi yako! Uzuri kadri siku zinavyozidi kwenda wapuuzi mnazidi kubaki wachache,Watz wanazidi kujitambua
M MAHORO JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 7,585 Reaction score 2,570 May 31, 2014 #25 2ko Pamoja Rais Wetu Mtarajiwa Dr Slaa
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,185 Reaction score 18,202 May 31, 2014 #26 Havizya said: Babu yako kakuzalia nani kati ya baba na mamako?? Au unakopi akili za nepi na gaidi mwigulu?? Click to expand... Dogo tuheshimiane, kumuita babu sio tusi umri unaruhusu.... Sawa?
Havizya said: Babu yako kakuzalia nani kati ya baba na mamako?? Au unakopi akili za nepi na gaidi mwigulu?? Click to expand... Dogo tuheshimiane, kumuita babu sio tusi umri unaruhusu.... Sawa?
M MAHORO JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 7,585 Reaction score 2,570 May 31, 2014 #27 Kuna Buku7 Humu Naziona
M MAHORO JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 7,585 Reaction score 2,570 May 31, 2014 #28 Naona Ccm Wanaogopa Slaa Kubomoa Ngome Zake
chollemadulu JF-Expert Member Joined Dec 8, 2013 Posts 259 Reaction score 78 May 31, 2014 #29 Ukawa mpaka 2015
Mzito Kabwela Platinum Member Joined Nov 28, 2009 Posts 18,904 Reaction score 7,746 May 31, 2014 #30 T2015CCM said: kumbe slaa ni mwanga, anaenda kupuliza uchawi singida...hatudanganyiki Click to expand... Leo Mbowe yuko Arumeru. Slaa atakuwa Singida. Pole sana
T2015CCM said: kumbe slaa ni mwanga, anaenda kupuliza uchawi singida...hatudanganyiki Click to expand... Leo Mbowe yuko Arumeru. Slaa atakuwa Singida. Pole sana
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,102 May 31, 2014 #31 Kila la kheri Elimu kwa umma kwanza
T Thrombocytes JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 401 Reaction score 30 May 31, 2014 #32 timing said: babu angetulia, aunde timu aende.... Singida sio sehemu ya kwenda harakaharaka Click to expand... mama yako amekuwa geti?shenzi type wewe.
timing said: babu angetulia, aunde timu aende.... Singida sio sehemu ya kwenda harakaharaka Click to expand... mama yako amekuwa geti?shenzi type wewe.
G Gambabovu JF-Expert Member Joined May 17, 2014 Posts 296 Reaction score 30 May 31, 2014 #33 Mnachachawa na kuweweseka km Banda wa malawi mkisikiabDr anaelekea singida....big Dr na kundi zima la ukawa.
Mnachachawa na kuweweseka km Banda wa malawi mkisikiabDr anaelekea singida....big Dr na kundi zima la ukawa.
M MAHORO JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 7,585 Reaction score 2,570 May 31, 2014 #34 2ko Pa1 Dr Slaa Mtetezi Wetu.
T Thrombocytes JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 401 Reaction score 30 May 31, 2014 #35 msalani said: naona babu anavizia nyayo za mh.kinana. Click to expand... lini jangili aliyetumalizia tembo wetu akaitwa mheshimiwa?kinana ni jangili siyo mheshimiwa.
msalani said: naona babu anavizia nyayo za mh.kinana. Click to expand... lini jangili aliyetumalizia tembo wetu akaitwa mheshimiwa?kinana ni jangili siyo mheshimiwa.
M MAHORO JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 7,585 Reaction score 2,570 May 31, 2014 #36 Naona Ccm Yanagonga Na Kurudi
WILLAFRICA JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 4,027 Reaction score 932 May 31, 2014 #37 Dk.slaa ndiye raisi wa mioyo ya watanzania,nenda singida ukafute dili za ujangili alizoziacha kinana na chama chake cha kifisadi c.c.m.
Dk.slaa ndiye raisi wa mioyo ya watanzania,nenda singida ukafute dili za ujangili alizoziacha kinana na chama chake cha kifisadi c.c.m.
WILLAFRICA JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 4,027 Reaction score 932 May 31, 2014 #38 C.c. Msalani,lizaboni,mandla jr. T2010ccm,mwanadiwani. Karibuni muone ukombozi wa kweli.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,973 Reaction score 75,055 May 31, 2014 #39 Arovera said: Muwe mnaeleweka basi DR Slaa atatikisa kiuno chake akiwa Singida au atatikisa nini? Click to expand... Manyani ya Lumumba mnafikiria kukata viuno midume mizima, bure kabisa nyie.
Arovera said: Muwe mnaeleweka basi DR Slaa atatikisa kiuno chake akiwa Singida au atatikisa nini? Click to expand... Manyani ya Lumumba mnafikiria kukata viuno midume mizima, bure kabisa nyie.
Mohamed R JF-Expert Member Joined Mar 28, 2013 Posts 2,232 Reaction score 426 May 31, 2014 #40 MSALANI said: Naona BABU anavizia nyayo za Mh.Kinana. Click to expand... Wakati Chama makini kikiendelea na ziara zake kupitia Katibu mkuu wake na Mwenezi, Wapinzani wanatembea nchi nzima. si lipumba, Mbowe wala Slaa. Namuonea huruma Kinana kwani anakula vumbi jingi huku chama akiachiwa pekee yake.
MSALANI said: Naona BABU anavizia nyayo za Mh.Kinana. Click to expand... Wakati Chama makini kikiendelea na ziara zake kupitia Katibu mkuu wake na Mwenezi, Wapinzani wanatembea nchi nzima. si lipumba, Mbowe wala Slaa. Namuonea huruma Kinana kwani anakula vumbi jingi huku chama akiachiwa pekee yake.