Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kesho anaanza ziara ya siku nne Mkoani Singida.Ziara hiyo itaanza tarehe 1-4 mwezi wa 6
Katika ziara hiyo kiongozi huyo anatarajiwa kufuta propaganda chafu zilizofanywa na Katibu Mkuu wa CCM alipokuwa katika ziara maeneo hayo siku chache zilizopita.
Kiongozi huyo anatarajiwa kuanzia ziara yake katika wilaya ya Mkalama jimbo la iramba mashariki siku ya Jumapili.
Jumatatu Dr Slaa atakuwa katika jimbo la Singida Mashariki ambapo mbunge wake ni Tundu Lissu.Anatarajiwa kutembelea Kata za Puma,Ikungi na Mungaa.
Dr Slaa anatarajiwa kuhutubia mikutano mikubwa ya hadhara,kufanya mikutano ya ndani na kupokea mamia ya wanachama wapya.
Habari njema hizi...
Mbowe nae yupo Arumeru Magharibi leo
Babu angetulia, aunde timu aende.... Singida sio sehemu ya kwenda harakaharaka
Kumbe ni suala la dawa?Tulia dawa ikuingie vizuri. Mbowe yuko Arumeru Slaa anaenda kupuliza Dawa Singida
Tulia dawa ikuingie vizuri. Mbowe yuko Arumeru Slaa anaenda kupuliza Dawa Singida
Habari safi Sana hizi tumeanza na Mungu Tupo na Mungu natutamaliza na Mungu... Intarahamwe Mtasoma Number
Kumbe ni suala la dawa?
safari bado ndefu
Kachelewa Sana lisu yupo uchi kule slaa akapumzike na wifi yetu mushumbuzi Josephine
Habari njema hizi...
Mbowe nae yupo Arumeru Magharibi leo
Mbowe kaenda kuhudhuria harusi ya Joshua Nassari au kukomboa nchi?