kazimoto edward
Member
- Sep 6, 2013
- 10
- 9
Mji wa njombe kesho utazizima kwa mapokezi na mkutano mkubwa ambao utaongozwa na katibu mkuu wa chama cha CHADEMA mheshimiwa DR. Wilbrod Slaa katika viwanja vya National Housing.
Mkutano huu ni miongoni mwa mikutano iliyopo kwenye ziara ya kiongozi huyu anayekubalika ndani na nje ya Nchi bila ya kujali ya vyama, dini au ukabila. Katika mkutano huo Mheshimiwa DR.
Slaa atamdani mgombea udiwani wa CHADEMA katika kata ya Njombe Mjini ambaye ni kamanda Agrey Mtambo. Watu wa Njombe wanasubiri kwa hamu kubwa kumsikiliza kiongozi wao DR. Slaa.
Lakini ikumbukwe katibu mkuu wa CCM Mheshimiwa Kinana alikuja Njombe na akapata watu wasiozidi 50 kwenye mkutano wake alioufanya kwenye viwanja vya RC Njombe.