Dr Slaa kutikisa kanda ya Ziwa

Dr Slaa kutikisa kanda ya Ziwa

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Kiongozi mkuu wa upinzani na mwanasiasa machachari nchini Dr Wilbrod Slaa anaanza ziara ya siku kumi katika mikoa ya Tabora,Shinyanga na Mwanza.

Dr Slaa ambaye pia ni katibu mkuu wa CDM anaanza ziara hiyo leo na atafuatana na watendaji na maafisa mbalimbali kutoka makao makuu ya CDM.

Ziara hiyo ya Dr Slaa itachukua siku kumi na pamoja na mambo mengine atakagua miradi ya maendeleo inayosimamiwa na chama chake,kufanya mikutano ya ndani na wanachama pamoja na viongozi katika kila eneo na pia kuhutubia mikutano ya hadhara kutangaza sera na kuingiza wanachama wapya.

Source:Nipashe.
 
Katika ziara hiyo nashauri jembe Godbless Lema lisiachwe. Nawatakia kila raheli katika operesheni hiyo ambayo sijui imepewa jina gani?
 
Timing nzuri kwa maeneo yenye wabunge magamba, wakati wanasema mjengoni ndioooooooo, Dr. Slaa atakuwa anawauliza wapigakura "amesema ndio ya nini wakati . . . . . . . ." huyo mbunge akitia pua yake jimboni anazomewa kama fisi kapita kijijini mchana!
 
Lema hatakuwepo na Chopa yake?
 
Mola akupe uzima na afya njema, karibu sana dk,
 
Kila siku huwa nasikia Slaa vs Kanda ya ziwa, Arusha na Kilimanjaro. Sijui ni lini itakuwa...
Topic: Dr Slaa kutikisa Pwani
Topic: Dr Slaa kutikisa Mtwara
Topic: Dr Slaa kutikisa Tanga
Topic: Dr Slaa kutikisa Lindi
Topic: Dr Slaa kutikisa Singida
Topic: Dr Slaa kutikisa Zanzibar
Topic: Dr Slaa kutikisa DSM
 
Katika ziara hiyo nashauri jembe Godbless Lema lisiachwe. Nawatakia kila raheli katika operesheni hiyo ambayo sijui imepewa jina gani?

Mkuu Lema amepangiwa ziara nyingine maeneo mengine
 
Kila siku huwa nasikia Slaa vs Kanda ya ziwa, Arusha na Kilimanjaro. Sijui ni lini itakuwa...
Topic: Dr Slaa kutikisa Pwani
Topic: Dr Slaa kutikisa Mtwara
Topic: Dr Slaa kutikisa Tanga
Topic: Dr Slaa kutikisa Lindi
Topic: Dr Slaa kutikisa Singida
Topic: Dr Slaa kutikisa Zanzibar
Topic: Dr Slaa kutikisa DSM

Utabaki kupiga porojo JF na huku CDM ikiendelea kushinda chaguzi ndogo
 
Kila siku huwa nasikia Slaa vs Kanda ya ziwa, Arusha na Kilimanjaro. Sijui ni lini itakuwa...
Topic: Dr Slaa kutikisa Pwani
Topic: Dr Slaa kutikisa Mtwara
Topic: Dr Slaa kutikisa Tanga
Topic: Dr Slaa kutikisa Lindi
Topic: Dr Slaa kutikisa Singida
Topic: Dr Slaa kutikisa Zanzibar
Topic: Dr Slaa kutikisa DSM

Huko tumewatuma makamanda wengine...
 
Kila siku huwa nasikia Slaa vs Kanda ya ziwa, Arusha na Kilimanjaro. Sijui ni lini itakuwa...
Topic: Dr Slaa kutikisa Pwani
Topic: Dr Slaa kutikisa Mtwara
Topic: Dr Slaa kutikisa Tanga
Topic: Dr Slaa kutikisa Lindi
Topic: Dr Slaa kutikisa Singida
Topic: Dr Slaa kutikisa Zanzibar
Topic: Dr Slaa kutikisa DSM

na mimi natamani kusikia jk akitikisa Dar, Arusha, Mbeya, Iringa, Mwanza etc!
 
Kila siku huwa nasikia Slaa vs Kanda ya ziwa, Arusha na Kilimanjaro. Sijui ni lini itakuwa...
Topic: Dr Slaa kutikisa Pwani
Topic: Dr Slaa kutikisa Mtwara
Topic: Dr Slaa kutikisa Tanga
Topic: Dr Slaa kutikisa Lindi
Topic: Dr Slaa kutikisa Singida
Topic: Dr Slaa kutikisa Zanzibar
Topic: Dr Slaa kutikisa DSM
Atakuwa huko siku wewe utakapo kataa kutumiwa kama kondom na mafisadi!
 
dr ni mtu makini na mwenye siasa makini,shupavu na kiongozi halisi.mwanza,kusin,na sehem zingine wanaendelea kuwa makin.viva cdm
 
Back
Top Bottom