Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anatarajiwa kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika jiji la Arusha siku ya Jumamosi tarehe 06.10.2012 kuanzia saa 8 mchana.Pamoja na mambo mengine Kiongozi huyo wa CDM pia atatumia mkutano huo kuzindua rasmi kampeni za udiwani katika kata ya daraja mbili.
Tayari kuna hekaheka kubwa katika jiji la Arusha kuhusiana na mkutano huo ambapo mazungumzo ya watu mbalimbali yanazungumzia mkutano huo unaotarajiwa kuwa gumzo.
Taarifa za awali zinasema mkutano huo pia utatumika kufuta nyayo za chama cha CUF ambacho kilisomba watu Dar-es-Salaam kwenda kuwahutubia Arusha ili kuepuka aibu ya kukosa watu.Pia inadaiwa wananchi wa Arusha wamedhamiria kuonyesha dunia uungaji mkono wao kwa chama cha CDM.
weraaaa weraaa....ngoja nikae mkao wa kutikisika.......
karibu sana kamanda.....tunakusubiri kwa hamu.....
wewe ndio Rais wetu tunaekutambua.......
Hayo ni mawazo yako sio ya watu wa Arusha. Haji Arusha kuendesha ibada, anakuja kwa mambo ya kisiasa. kwenye siasa kwa hayo uliyoyataja hapo hakuna msafi, hata wewe jichunguze vizuri.Huyu padri sijui ana matatizo gani?kuvunja ndoa za watu,kukiuka maadili ya kanisa wakati akiwa padri na wakina rose wake,ukifkia kufanya mapenz kwenye nyumba za ibada!!!!watu wa Arusha tumechoka vurugu zenu,hatuwataki jamani!!!!!!!!!!!!
Yes do the neefulAsante kwa taarifa. Kamanda Crushwiser Do the needful plz!😛oa
weraaaa weraaa....ngoja nikae mkao wa kutikisika.......
karibu sana kamanda.....tunakusubiri kwa hamu.....
wewe ndio Rais wetu tunaekutambua.......
Mkuu Ritz
Hivi watu wa Arusha hawana shughuli za kufanya za maendeleo? Haya maandamano na mikutano isiyokwisha taifa wanalijenga wakati gani?kweli tuliimaanisha Arusha iwe mji wa mikutano kwa kujenga AICC hatukumaanisha uwe mji wa mikutano hii ya kiwendawazimu isiyokwisha au ndio tuseme wana vichwa vigumu kuelewa?
Chama
Gongo la mboto DSM
Jamani sisi tulio nje ya Arusha chama hakijatufanyia mpango wowote wa usafiri wa kufika huko?
Tena uendawazimu mkubwa udiwani hata katibu wa wilaya angeiweza hiyo kaziUmeambiwa anakuja kuzindua kampeni ya udiwani kata ya daraja mbili. Huo nao ni uendawaziwu!? You must be in toilet!