Dr Slaa is just too busy with party engagements

Dr Slaa akiongea leo, kesho mtazusha mengine tena...kazi yake siyo ya kuongea kwenye media wakati kam huu. Jua kuna malalamiko kutoka kila pande ya Tanzania kuhusu kura za maoni ndo maana ata mzee Kinana yupo bize.

Fikeni hatua muwe waelewa kwani hamkujua kua kutakua na propaganda kama haya uko mwanzo?
 
Basi kama vipi wewe tuambie Slaa alipo.

Nadhan mpaka sasa umeamini kuwa Tumaini Makene anadanganya humu kama alivyokuwa anafanya AL Sahaf

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…