Dr. Slaa,huna hata aibu

Status
Not open for further replies.
Samahani kwa yeyote atakayekasirishwa na Comment hii naomba anaisamehe bure nalazimika kusema haya.

Wakuu:
Kama kuna mtu ambaye anaweza kujitokeza na kupinga maamuzi ya watu wa mtwara kwangu mimi huyo namhesabu kama Mwendawazimu,katika hili sitaki kujua yeye ni nani,anatokea wapi,anafanya kazi gani?.Nasema hivyo kwa sababu kama ni kuchezewa sisi watanzania tumechezewa sana,tena zaidi ya sana!,Wakuu hii kitu inaumiza sana,kwangu mimi nitampongeza Dr.Slaa kwa mara ya kwanza kama kweli yeye na makamanda wengine ndio watakuwa wameinjinia hii kitu ya Mtwara,nasema hivyo kwa sababu hiyo gesi itatoweka na kwa sababu inajulikana hadi kiwango na wana Mtwara watabaki kama walivyozaliwa! sitaona aibu kama kumpongeza mtu wenye wivu wajinyonge,siwezi kuacha kumpongeza mtu kama amefanya jema na wala siwezi kuacha kumpa za uso kama amesema hovyo.

Kuna mifano hai mimi ninayo kama vile huko Geita ambapo kuna mgodi mkubwa ambao ni wa tatu kwa uzalishaji wa dhahabu katika bara la Afrika lakini fika geita jionee maisha ambayo wananchi wanaishi,au hata wafanyakazi wa mgodi,pamoja na kwamba kuna watu wengi a,nao wamepata ajira lakini asilimia zaidi ya 80 sio wakazi wa Geita ni watu kutoka nje ya geita na nje ya nchi pia,kuna taarifa kwamba kila wiki ndege inaijia dhahabu yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 45,hivi jamani kama wanageita wangekuwa wameweka tu kautaratibu kadogo kwamba kila dhahabu inayoondoka kwa wiki waachiwe cheki ya shilingi milioni 100,kwa mwezi si ingekuwa ni milioni 400?,na kwa mwaka si ingekuwa ni zaidi ya shilingi Bilioni 5?hivi kwa akili ndogo tu ya kawaida fedha kama hii si watu wa eneo hilo wangekuwa hawachangishwi hata madawati?.

Pili anagalia Tarime,angalia Buhemba,hebu angalia Biharamulo ambapo kote huko kuna migodi ya Dhahabu,lakini rudi shinyanga iangalie namna ilivyo wakati ndio mahali pekee ambapo Almasi inazalishwa!!!!!!,ukifika shinyanga huwezi kuamini kama kuna mgodi wa Almasi ambao unawatajirisha wazungu wengi duniani!kila siku shinyanga kuna njaa watu wanaomba msaada wa chakula!!!!!!!

Kama kweli kuna mkono wa Slaa na M4C SIJUI KAMA NIMEPATIA HILO JINA,na waendelee na utaratibu huohuo mpaka pale kitakapoeleweka.Binafsi kwenye mambo ya msingi na yanayohusu maisha ya watanzania huwa sina rafiki ukichemka mimi nakupa tu za uso.

Lakini naomba niishie hapa kwa sababu nikiendelea kuzungumza hapa naweza kwenda mbali sana na kula BAN hapa mwisho wa siku nikakosa uhondo,lakini nasema hapo wanamtwara walipofika ni spidi 200 haki ya mamam wakanyage mafuta hadi ifike spidi 240 njia itapatikana tu kwa sbabu wahusika watalazimika kupaki tu ili wapite na kama wanataka msaada waseme tuhamasishe na maeneo mengine nao walianzishe.aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhh!!!!!
 
Kwa hiyo wakristo ndio wanataka gas ihamishwe toka mtwara?ttz lenu mnatumia sana masaburi kufikiri,acha yafanye kazi yake
 
mbona unatoa upambavu mkuu,samahani shirikisha kdgo akili yako
 
wafuasi wa ponda utawajua tuuuu....kazi yao ni kuumiza kichwa kwa nn wakristo wanafanikiwaga badala ya kuumiza kichwa je wakristo wanafanya nn tuige na tuwapite tue na maendeleo kama wao....tatizo kubwa kichwan mwenu ni shule wafuasi wa Ponda..Mungu akuokoe.
 

Ungejitahidi umalize la saba vizuri ungeokoa mengi hata kwenye familia yako na inaonekana ulitegemewa sana na familia yako lakin kwa sababu ulitanguliza bangi mbele ndo maana mwisho wako umekuwa mbaya katika maisha yako kwa sababu huna hata chembe ya uwelewa
 

Hayo wewe unasema,na ndiyo shida yenu huwa hampendi kuambiwa ukweli.Mnapenda kusifiwasifiwa tu,nadhani itawagharimu sana.Kama unaelimu kisha anakushinda wa darasa la saba,elimu yako ina maana gani?
 

Hivi modes mnaachaje upuuzi kama huu, cd yenyewe anayoiongelea huyu mchovu wa fikra ni kuhamasisha kuua wakristo!
 
Acha hisia zako potofu na zenye chuki.

Haya kama hutaki tuanze kazi, ...
Huyo ustaadh hana uhakika na anachokiamini ndiyo maaana anachochea watukwa udini wake!!
Kuna mapungufu anayaficha...mfumo huu ndiyo uliyo ibomoa Somalia!!??
 
jamani, hebu tupunguze jazba.... kwanini tunaojua tusimpe hayo malengo ya m4c nae akapata kujifunza nasi pia.....
 
Aiseeeeee babaangu mleta mada povu linakutoka mpaka masikioni
unatapika pumba 2
 

Ooo
My dear time nilotumia kufungia sred hii, kumbe ID ya mleta maada inamtambulisha..
 
Anasema amekopa Millioni 20 sio 140.Wakati chama kila siku wanazunguka na vikapu kuomba yeye anajikopesha.Halafu anadanganya.Dhambi ya kukiuka amri ya 6 itamtafuna hadi kaburini

Hoja yako haina nguvu tafuteni jingine
 


Kichwa mbovu, hakika maoni ya kichwa kibovu.
 
Mkuu kwa nini kutoka povu?? Malengo ya M4C ni nini?? Na kinachotokea Mtwara ni kipi????

mkuu usimshangae sana huyu jamaa mwenyewe anaitwa kichwa mbovu,ndo mana hana akili wa hajui lengo la m4c. Huyo ni ccm ndo,kichwa mbovu
 
Huna akili wewe! ukombozi wa raslimali za nchi hauletwi na mawazo yako duni!
 

Mkuu hata kwenye siasa umo? mimi najua uko kwenye jukwaa la Biashara tu kumbe na huku
 
..."mfumo kristo"...teh teh teh!!..."mfumo dume" kwehe kwehe...Wakina mama wapambane na mfumo dume na wengine wapambane na huo mfumo mwingine kama upo....
 
Mkuu hata kwenye siasa umo? mimi najua uko kwenye jukwaa la Biashara tu kumbe na huku
Nimo mkuu kwa ajili ya kuweka mambo sawa.Si unajua chadema wanajikweza sana kwa kila kitu,wanapiga domo tu wenzao wanafight bila kujali mvua.Nao kama wajanja weende huko.Si wanapiga kelele tu wakiwa dar.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…