Hawa majambazi sasa wanachokifanya ni kutudharau kabisa!, pamoja na huu ugumu wa maisha tulionao bado wanakunywa pesa zote hizo? jamani sasa cha kufanya ni kuanza kumchukia kila mwanaccm kwakuwa wanachokifanya sasa ni kunya uji wa mgonjwa!.
lakini jamani hawa watu wanawazazi kweli?. na kama wanawazazi nibora tuanze kuwalaumu wazaziwao kuwa walituletea mashetani kwetu!
mimi nadhani kilichobaki ni kuanza kuwashambulia tu!