Wahenga walisema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.
Jana jioni watu wasiofahamika lakini wanaoonyesha kuwa walijipanga vizuri kipropaganda walitengeneza na kusambaza habari kwamba Dr. Slaa ameanguka bafuni akiwa jijini Arusha na kufariki dunia.
Nikiwa natafuta ukweli au uongo wa habari hiyo niliwasiliana na viongozi wa CHADEMA Arusha wakanipa mlolongo wote wa uzushi huo ulivyoanza mchana kwa kutangaza kuwa Dr. Slaa kapata ajali ya gari.
Kwa kweli huu ni uongo mkubwa. Sasa tumefikia mahali pa kuzushiana vifo. Sijui tunaenda wapi?😛ound:
Aina ya thread kama hizi zisizo na evidence ndizo Mods huwa wanazipenda ungeleta evidence wangei movuzisha haraka sana.Wahenga walisema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.
Jana jioni watu wasiofahamika lakini wanaoonyesha kuwa walijipanga vizuri kipropaganda walitengeneza na kusambaza habari kwamba Dr. Slaa ameanguka bafuni akiwa jijini Arusha na kufariki dunia.
Nikiwa natafuta ukweli au uongo wa habari hiyo niliwasiliana na viongozi wa CHADEMA Arusha wakanipa mlolongo wote wa uzushi huo ulivyoanza mchana kwa kutangaza kuwa Dr. Slaa kapata ajali ya gari.
Kwa kweli huu ni uongo mkubwa. Sasa tumefikia mahali pa kuzushiana vifo. Sijui tunaenda wapi?😛ound:
zilikua story za kijiweni tu!
Unapozileta kwenye Hii forum unazidi kuzikuza zaidi, yaani unausambaza uzushi zaidi.
Aina ya thread kama hizi zisizo na evidence ndizo Mods huwa wanazipenda ungeleta evidence wangei movuzisha haraka sana.

Hopelesskwani slaa alivyomzushia yule mkuu wa mkoa kifo ulijiskiaje? Mkuki kwa mchungu, kwa binadam nguruwe!
Source???Wahenga walisema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.
Jana jioni watu wasiofahamika lakini wanaoonyesha kuwa walijipanga vizuri kipropaganda walitengeneza na kusambaza habari kwamba Dr. Slaa ameanguka bafuni akiwa jijini Arusha na kufariki dunia.
Nikiwa natafuta ukweli au uongo wa habari hiyo niliwasiliana na viongozi wa CHADEMA Arusha wakanipa mlolongo wote wa uzushi huo ulivyoanza mchana kwa kutangaza kuwa Dr. Slaa kapata ajali ya gari.
Kwa kweli huu ni uongo mkubwa. Sasa tumefikia mahali pa kuzushiana vifo. Sijui tunaenda wapi?😛ound:
Aina ya thread kama hizi zisizo na evidence ndizo Mods huwa wanazipenda ungeleta evidence wangei movuzisha haraka sana.
Yaani hapo silencer, Paw, invisible, painkiller, Farida na Max wanafuraha ajabu lol!
Nasikia tetesi kuwa Nape anataka kumfanya Mukama zezeta ili achukue kiti nitaanzisha thread yake ila msiniulize source.Yaani hapo silencer, Paw, invisible, painkiller, Farida na Max wanafuraha ajabu lol!
Na hii nayo ni ID yako Dah!!kwanini mnalazimisha hii thread itolewe? kwani imewekwa kimakosa hapo ilipo?
huo ni uzushi lakini uzushi huo una malengo yake na sababu zake kama ni evidence tutaipata kupitia michango ya Wajumbe na upo uwezekano tukapewa hata sababu za uzushi huo,kwa hiyo tusiwafundishe kazi hao ulio wataja hapo juu,acha wafanye kazi zao kulingana na kanuni,taratibu na sheria walizojiwekea
Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko
Utakuwa huna akili timamu wewe!kwanini mnalazimisha hii thread itolewe? kwani imewekwa kimakosa hapo ilipo?
huo ni uzushi lakini uzushi huo una malengo yake na sababu zake kama ni evidence tutaipata kupitia michango ya Wajumbe na upo uwezekano tukapewa hata sababu za uzushi huo,kwa hiyo tusiwafundishe kazi hao ulio wataja hapo juu,acha wafanye kazi zao kulingana na kanuni,taratibu na sheria walizojiwekea
Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko
Rev na wewe toka lini injinia akawa na akili kwenye mambo yanayoihusu Chadema.Utakuwa huna akili timamu wewe!