Kilala Makusaro
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 688
- 383
Wakenya kweli wajadili mambo ya TZ? Toka lini manake hata JF inakipande cha Kenya. Punguzeni kujisifia ujinga kwanza twende sawa hata kenya wapuuzi wapo! Ingekuwa the Citizen TV sawa lakini katika blog za wamatumbi ndio mpaka mumtolee matusi presidaa wenu kwa hotuba ya kuongea na wanafunzi wa Samford je ingekuwa Harvad au Boston University, ebu jiangalieni na acheni ubwege .
- Speech zake zimeshindwa Chalinze, Kalenga, Kata kati ya 27 kaishia kupata 3 sasa leo unasema speech zake zimekubalika wapi huko ambako hakuna wapiga kura wa bongo? Sasa itasaidia nini speech zake kukubalika nje ya nchi badala ya Chalinze alikopigwa kama mbwa mwizi!!
Le Mutuz System
Jinga lingine hili hapa yaani umewekewa hadi link na speech inajadiliwa kwa ujumla wake wa kuwazodoa maraisi wa africa kwa kusema tatizo la africa na tz. Wewe kwa kuwa umelemewa na gunia la ulimbukeni unabishana na web kwamba hawawez jadili wakati unaona uzi ukijadiliwa na wakenya. Taifa linaugua ugojwa wa vijana malimbukeni ka wewe. Umeishia darasa la ngapi ndugu? maana tusikulaumu labda hujui kimombo
great leader of the time with vision and independent mind,just like Nyerere Nkrumah Mandela etc,maccm hawatakubali propaganda lazima zishike kasi,wao wakienda wanaishia kupiga picha na wacheza filamu wa hollywood au 50 cent
- Speech zake zimeshindwa Chalinze, Kalenga, Kata kati ya 27 kaishia kupata 3 sasa leo unasema speech zake zimekubalika wapi huko ambako hakuna wapiga kura wa bongo? Sasa itasaidia nini speech zake kukubalika nje ya nchi badala ya Chalinze alikopigwa kama mbwa mwizi!!
Le Mutuz System
Dr amesema tunataka kunufaika kwa Technical know how na ni priority No 1 ya Chadema.Sio utegemea kuletewa pesa wakati mmekalia utajiri...na amesema wazi hizo hela zao ni kodi zao...ziwanufaishe wao huko makwao ...sio sisi ambao tumekalia utajiri...amesema tunataka exchange ya technical know how ili tuweze ku zalisha kutokana na rasilimali zetu beyond life ya non renewable resources.
Poor Pam kin,is that a litmus?buying poor voters do you think will work forever?you really working hard hawa jamaa wakupatie cheo!your strategies so cheap,TZ comes first and one day sun will rise!like it or not- Speech zake zimeshindwa Chalinze, Kalenga, Kata kati ya 27 kaishia kupata 3 sasa leo unasema speech zake zimekubalika wapi huko ambako hakuna wapiga kura wa bongo? Sasa itasaidia nini speech zake kukubalika nje ya nchi badala ya Chalinze alikopigwa kama mbwa mwizi!!
Le Mutuz System
pole Sana William,TZ unajitahidi Sana lakini Kuna siku utaona aibu,ukweli utabaki kuwa ukweli na uongo utaaibika...- Speech zake zimeshindwa Chalinze, Kalenga, Kata kati ya 27 kaishia kupata 3 sasa leo unasema speech zake zimekubalika wapi huko ambako hakuna wapiga kura wa bongo? Sasa itasaidia nini speech zake kukubalika nje ya nchi badala ya Chalinze alikopigwa kama mbwa mwizi!!
Le Mutuz System
- Speech zake zimeshindwa Chalinze, Kalenga, Kata kati ya 27 kaishia kupata 3 sasa leo unasema speech zake zimekubalika wapi huko ambako hakuna wapiga kura wa bongo? Sasa itasaidia nini speech zake kukubalika nje ya nchi badala ya Chalinze alikopigwa kama mbwa mwizi!!
Le Mutuz System
Poor Pam kin,is that a litmus?buying poor voters do you think will work forever?you really working hard hawa jamaa wakupatie cheo!your strategies so cheap,TZ comes first and one day sun will rise!like it or not
Wachangia hata 10 hawafiki!
Ametoa hotuba kali ya kuponda nchi kutegemea misaada na akasema katika hotuba kuwa CHADEMA haioni misaada kama kitu cha maana.Cha ajabu kamalizia hotuba yake kwa kukiomba chuo cha Samford kitoe msada wa kuelimisha watanzania.Ni kujichanganya kwenda mbele!!
Jinga lingine hili hapa yaani umewekewa hadi link na speech inajadiliwa kwa ujumla wake wa kuwazodoa maraisi wa africa kwa kusema tatizo la africa na tz. Wewe kwa kuwa umelemewa na gunia la ulimbukeni unabishana na web kwamba hawawez jadili wakati unaona uzi ukijadiliwa na wakenya. Taifa linaugua ugojwa wa vijana malimbukeni ka wewe. Umeishia darasa la ngapi ndugu? maana tusikulaumu labda hujui kimombo
daah . elimu ngumu tzAmetoa hotuba kali ya kuponda nchi kutegemea misaada na akasema katika hotuba kuwa CHADEMA haioni misaada kama kitu cha maana.Cha ajabu kamalizia hotuba yake kwa kukiomba chuo cha Samford kitoe msada wa kuelimisha watanzania.Ni kujichanganya kwenda mbele!!