Ndugu zangu mapambano kila kona mambo yanakwenda vizuri sana huku nje.Sasa tumeanza kukandamiza kwenye vyombo vya habari huku nje sasa hivi.Hii redio ni maarufu sana inayozungumzia siasa hapa Washington DC.
Inasikika karibu nusu ya United state of americaW
ale walikuwa wananenepa kwa misaada kutoka marekani sasa wakae chonjo.maana hii sio mchezo inaitwa "OPERATION KANDAMIZA".
Nipo kwenye ofisi zao hapa tuna kamilisha mikakati,maojiana yatakuwa kwa kiingereza ili watu wote Wajue Tanzania ile sio hii ya sasa hivi.Nitawapa ni siku gani itakuwa week hii na saa ngapi.kwa wale wenye simu za kisasa wataweza kusikia vizuri haya maojiano.yatakuwa live.Hatulali mpaka kieleweke.
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Chadema kwa kulia lia sasa hiyo radio ndio Slaa anapeleka kilio chake...Redio hiyo wanasikiliza wabeba box wa Kitanzania tu, nilidhani anafanya mahojiano na VOA au Texas Public Radio.
Radio maarufu mbona mimi siijui au maarufu huko DC?