Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,418
- 1,543
Tumia kiswahili tu ndugu
Nimtu aliye laanika peke yake ndiye anaweza asiyaone maneno haya kua ni matusi. Mtu mwenye nyazfa kama yake hastahili kutoa kauli kama hizi (matusi) tena kwenye vyombo vya habari.
Utayaona vipi nawewe umekunywa maji ya bendera?
watauwa wote hatimaye atabaki mbowe slaa na mtei peke yake
Utayaona vipi nawewe umekunywa maji ya bendera?
juzi nimekutana na mwandishi mmoja siwezi kumtaja jina -- lakini kwa jinsi alivyokuwa anaongea - Uelewa ni mdogo sana - hii tasnia imevamiwa kama vile ile ya siasa. Mtu akiweza kuandika sentensi mbili basi anajiita mwandishi. njaa nje nje.Trivialization of serious issues to the highest level. Hivi hakuna chombo cha kufutia mtu hadhi ya kuwa mwandishi kama ilivyo ERB kwa engineers?
Kuna tusi gani mtu akikuita wewe ni mpumbavu kwa kudhani hapo kuna hoja?nini tafsiri ya slaa kuporomosha matusi badala ya kujibu hoja????????????? kwa hapa jf mtu akitukana huwa ameishiwa hoja na hivyo ameshindwa kutetea kile kinachoelekezwa kwake..
Mbona habari iko poa tu, we unafikili inshu yamtu kutaka kumtilia sumu mwana siasa mwenzie sio habari nyeti? Au ulitaka habari ipi ya maana ambayo ungeipa kipaumbele?
Popo's bawaaaaaa!People's.......
Mh Kambona alishindwa kuelewana na Nyerere katika sera, Mzee Mtei alishindwana na Mwl Nyerere kuhusu sera za kiuchumi, Kassanga Tumbo, Dr Bisigye alishindwana na Museveni Uganda. MP 7 ilikuwa movement ya vijana dhidi ya uongozi mzee wa Chadema.hivyo hawa vijana ni wasaliti, na wasingefukuzwa chadema wangezidi. chafua hali ya hewa,wanatutia aibu kubwa vijana wengine, inanesha bei ya utu wao iko chini sana
Watanzania wa sasa wanauelewa mkubwa wa siasa chafu za kuua vyama. ccm wameishiwa mbinu za kistaarabu, hata hivyo cdm inawapasa kujibu hoja hizi za uzushi kwani wenzenu ccm ndio wanapanda mbegu mbaya hivyo! Msisahau kuwa magugu yakipandwa huota na kuzaa kushinda mazao rasimi!
CCM Hata mfanye vipi, M4C ishawapiga bao la kisigino hamna jipya!
Popo's bawaaaaaa!
Unaweza kuitumia kauli hiyo (mpumbavu) kumwambimbia Baba yako au Mama yako mzazi? Ifikie mahali tuwe watu huru ki fikra. Kiongozi makini niyule mwenye kuchunga ndimi yake sie yule ambaye hata kuficha haiba yake kwake ni mtihani. Kwahilo Padri anatakiwa amuombe radhi mwandishi huyo (nawa TZ kwa ujumla)kaka kuwa muhalisia basi unayajua matusi wewe au unaleta unafiki wako hapa
:nono:yaani mpaka moyoni mwako unajua kuwa unafanya unafiki:nono:....hili gazeti ni makanjanja:nono: ilipaswa kuandika kuwa ametoa kauli kali ambazo mwanaume wa kweli yoyote angekuwa kwenye position ya docta slaa angeongea hivyo...unaf... wewe
Nyie ni watani wa jadi hatuwaingilii!!Popo's bawaaaaaa!