MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 254
Ina nyuma ambako inazungumzia uasili (orodha ya mafisadi) na muasisi (DR. Slaa) wa hoja. Ina mbele ambapo inatoa mrejesho wa yatokanayo na hoja (kujiuzuru kwa mmoja wa watuhumiwa). Huwezi kuona haya kama kumbukumbu yako siyo nzuri na mbaya zaidi pale unapoukubali upofu wa kifikra kwa kutawaliwa na itikadi za kivyama au mlengo fulani wa masuala ya kijamii.hii mada haina mbele wala nyuma hata kwa mtu anayeelekea kuwa great thinker hawezi anzisha mada ya kijinga kama hii
omr upende usipende nchi tunamkabidhi dr wa ukweli dr slaa,hakuna mwenye ubishi dr ni mpambanaji na ni kiboko cha mafisadi na hata kuondoka kwa ra ,dr slaa amechangia sana. Omr kama huna hoja kaa kimya nasio kutoa matusikweli wewe ndio umeshinda, inaonekana hata ukienda choo unamshukuru slaa maana unaamini bila yeye usingeweza pata haja kubwa.
Nakushangaa na wewe umechangia. Unaweza kusema na ww ni Great Thinker? Mada ni nzuri, tatizo nyie mliotumwa na Magambaz, aliyewatuma hakufanya sorting.
Nchi gani hiyo? Nyie wangapi mtamkabidhi nchi wakati wote mko vijiweni mnakula msuba...Nchi hii inawenyewe kijana.Mwambieni huyo mungu mtu wenu kama anataka Cheo basi aende na kumsujudia kikwete, labda atapewa nafasi ya mkuu wa wilaya.omr upende usipende nchi tunamkabidhi dr wa ukweli dr slaa,hakuna mwenye ubishi dr ni mpambanaji na ni kiboko cha mafisadi na hata kuondoka kwa ra ,dr slaa amechangia sana. Omr kama huna hoja kaa kimya nasio kutoa matusi
Bila shaka hiy ya pili itakuwa ni orodha ya kutaka kuwasafisha watu fulaniList of Shame ya Dr.Slaa ilikuwa na majina 11 akiwemo Rais Kikwete, kama kujivua gamba kumetokana na list ya Dr.Slaa then kwanini list ya Nape ina majina matatu tu?tafakari...
vipi tena hapo
, watu wanaweza elewa tofauti
List of Shame ya Dr.Slaa ilikuwa na majina 11 akiwemo Rais Kikwete, kama kujivua gamba kumetokana na list ya Dr.Slaa then kwanini list ya Nape ina majina matatu tu?tafakari...
thread zingine sijui watu wanafikiria kutumia makalio? Aggghhhhh!!!!!wanajamiiii kwa hili la rostam kujivua uongozi kwenye ccm mimi naona DR slaa anahitaji pongezi kubwa kwa kuchangia mgamba wamuone RM kua ni gamba la kujibandua ccm naomba maoni pls
mwenzio mbele nimekuona shida huko nyuma.hii mada haina mbele wala nyuma hata kwa mtu anayeelekea kuwa great thinker hawezi anzisha mada ya kijinga kama hii
Siku zote tumesema gamba ni ccm yote kuondoka na wala siyo baadhi ya watu.Wao wanashikana mashati huko ndani wakidhani kuna mtu atabaki na ccm.Watakobaki na ccm watakimbia wenyewe wakiache kikatupwe baharini kama osama. Hawasomi alama za nyakati, kila kitu kina mwanzo na kina mwisho. Mwisho wa ccm umefika na hakuna atakaye zuia wote watakikimbia. Yetu macho!List of Shame ya Dr.Slaa ilikuwa na majina 11 akiwemo Rais Kikwete, kama kujivua gamba kumetokana na list ya Dr.Slaa then kwanini list ya Nape ina majina matatu tu?tafakari...
Mnafiki wewe ni magwandaUkweli usiopngka slaa played a great rule viva Slaa, viva Chadema though, am ccm(magamba) member
gamba haliwezi kuwaza zaidi ya n.g.o.n.o!!vipi tena hapo, watu wanaweza elewa tofauti
Ndio walewale wasiotaka kusikia ukweli ukizungumzwa. Bila Dr. Slaa Magamba wala usingeyasikia hapa TZ au unabisha? Msingeweza kujinyooshea vidole nyinyi kwa nyinyi. Kubalini tu kuwa Dr. SLAA katufumbua macho maana wengine hata maana ya ufisadi tulikuwa hatujui sembuse mafisadi tungewasikia wapi. Mungu akubariki sana SLAA katika kutupigania watanzania na akulinde Pia wala usije ukaufumbia macho ukweli na Mungu atakulinda siku zote kwa hilo.Huu ni upupu mtupu! Ngoja nipite zangu tu