dr tsaaa hafai kuwa kiongozi wa nchi yoyote ile hasa yenye utajiri kama hii, Mang'ola ni mfano halisi wa nchi hii, kwani ina utajiri mkubwa sana wa ukulima wavitunguu, na wakulima ni matajiri, huyu mbunge wa hapo yaani tsaa,
hajaweza kuwasaidia wakulima hao kitu chochote kwamiaka 15ya ubunge, alihitaji kuwahamisisha tu wachange na yeye awasaidie kuleta umeme, na barabara ya kupitisa mazao ,tumeona kwa macho juzi kwenye ziara ya rais jk karatu,pia tumeonyeshwa kibanda cha udongo cha kwake lo raisi ambae hata Hawezi kubadili maisha yake kuwa bora atamuongoza nani. wakazi pale wengi wana nyumba nzuri ila yeye. m/kiti wa kijiji amekiri utendaji mbovU wa tsaa, na kurudisha card yy na wafuasi wake, hii ni kuthibitisha jinsi gani walivyocHoshwa na ahadi za uongo,
DR,TSAA HAFAI KUONGOZA HATA FAMILIA YAKE IWEJE ATUONGOZE SISI WATZ