Dr Slaa ana mchango mkubwa wa kuikomboa Tanzania Including ZNZ na si Arumeru tu...
Dr Slaa Kaokoa fedha nyingi sana za kifisadi including Rada, Epa na kuhakikisha ile speed ya Chukua Chako mapema inapungua na kufikia iliko fika.
Kwa ajili ya Dr Slaa JK na wakubwa kibao wanaogopa kujiingiza kaatika ufisadi mkubwa kwani taarifa atazipata hata kama kika cha hiyo mission inafanyikia Ikulu...
Dr Slaa ndiyo aliwapa Confidence hawa vijana wadogo kuzungumza kwa ujasiri na kuwataja mafisadi hadharini kama alivyofanya Mwembe yanga 2007..
Dr Slaa hata kina nape na wenzake wanataja hadi Lowasa, RA na Chenge ni Mafisadi kabla ya hapo wasingeweza na hata kama wangejaribu basi wasingeweza kuchukua Round... Mnaelewa namaanisha nini....
Kwa hiyo Dr Slaa ni Next Level.. Labda kafuatiwa na Mbowe kwa sasa ndiyo ana ujasiri wa kiwangi hicho ila tu bado kaumri ndiyo hakajafikia kwenye wa Dr Slaa.