Dr.Slaa alikurupuka pia!

Mi kwa Mtazamo wangu kuna watu humu JF Wameshaona kama Chadema ni dini na Dr. Slaa ni NABII Utatukanwa na wahusika watasoma matusi yao na Kila kejeli utakazotumiwa lakini hawata wapa Ban, ila sasa Mod aone wewe ukijibu kejeli anaku suspend hii ndio JF Ya Ma great thinker bwana
 
Thread zingine bwana inabidi mtu ucheke sana

Mpaka sasa Mufti na Slaa hakuna tofauti, hajulikani nani msomi na nani siyo msomi

tuweni wakweli jamani
 
Sasa tumetoka kwenye kujadili mada badala yake tunamjadili mleta mada, hii ni ishara ya kujaribu kuwafanya watu wa aina fulani wasitoe mawazo yao.

Tunachojadili hapa ni mada badala ya kumjadili mleta mada hii itasaidia kuona je kilichowasilishwa mashiko yake yakoje? Nadhani ndio msingi wa Jamii forums.
 
Hapo kwenye blue Crackpot
 
Sielewi unavyoanza kulinganisha Dr Slaa na Shehe mkuu.
 
Aisee!!Umeona mbali sana! Umeona mahali ambako wengi wetu humu hatutaki paonwe! Umesema mambacho watu humu hawataki kisikiwe wala kusemwa!!

NDIO MAANA TUSASISITIZA WAKATI WOTE "HATUNA CHAMA CHA SIASA CHA MAANA TANZANIA, BALI TUNA VYAMA WATU!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…