Naamu Dr Makini alieko mioyoni mwa watanzania wengi;nakukubali sana Dr Slaa na Mungu aendelee kukulinda zaidi
Amen! Mungu atamlinda dhidi ya majangili wa maadili na haki
Achukue dola aje ahalalishe gongoNaamu Dr Makini alieko mioyoni mwa watanzania wengi;nakukubali sana Dr Slaa na Mungu aendelee kukulinda zaidi
Macho na maskio ya watz wote yapo kigoma ujiji kwa kijana
Mnachelewesha picha sana... Hili swala litafutiwe ufumbuzi... BI
Achukue dola aje ahalalishe gongo
Mpaka wa edit kwanza ndio watume na hii ndio sababu zinachelewa,mara tutumiwe picha za 2010,kweli upepo unaelekea kusiko!
Watu masikio yote yapo kigoma kwa ZZK!
Picha zile zile tangu zara zimeanza tabora, kweli dr amechokwa
Don't you know the problem behind? Ni kwamba picha zao lazima zihaririwe kuona sisi wananchi tutawachukuliaje, mchujo.Mnachelewesha picha sana... Hili swala litafutiwe ufumbuzi... BI