Dr. Slaa akiwahutubia wananchi wa Igunga mkoani Tabora

Status
Not open for further replies.

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Monday, December 23, 2013

DKSLAA100.jpg

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbroad Slaa akiwahutubia wananchi wa Igunga mjini jana katika Uwanja wa Barafu wakati akihitimisha ziara ya kuimarisha na kukagua uhai wa chama, mkoani Tabora.
DKSLAA200.jpg

Wananchi wa Igunga mjini wakiinua mikono juu wakati Dk. Slaa akiwahutubia jana katika Uwanja wa Barafu mkoani Tabora.
(Picha zote na Chadema)

Naamu Dr Makini alieko mioyoni mwa watanzania wengi;nakukubali sana Dr Slaa na Mungu aendelee kukulinda zaidi
 
Mnachelewesha picha sana... Hili swala litafutiwe ufumbuzi... BI
 
Mnachelewesha picha sana... Hili swala litafutiwe ufumbuzi... BI

Mpaka wa edit kwanza ndio watume na hii ndio sababu zinachelewa,mara tutumiwe picha za 2010,kweli upepo unaelekea kusiko!
Watu masikio yote yapo kigoma kwa ZZK!
 
Achukue dola aje ahalalishe gongo

Ulizaliwa 1999? Unajua KIBUKU na CHIBUKU? na Histora yake PWANI ya TANGANYIKA na WAKOLONI? kwanini sasa ni DISTILLED???? Wazee wa Kiswahili wa Pwani ndio iliyokuwa POMBE yao lakini MKOLONI alikuwa anaipinga kama GONGO --- GONGO inapingwa sababu ya UKOLONI MAMBOLEO... SIO SABABU ya kuwa kinywaji kibaya -- IKIWA DISTILLED ni kinywaji kizuri kama KIBUKU na CHIBUKU NYERERE walivyowafanyia watu wa PWANI...

ACHENI UMASIKINI WA KIELIMU na kubali na Mawazo FINYU ya KIKOLONI na KUENDEKEZA UKOLONI MAMBOLEO...
 
Shule za kata
 
Maccm mpo?ccm mnamiaka zaidi ya 50katika siasa mnalialia kazi ndio imeanza
 
Mnachelewesha picha sana... Hili swala litafutiwe ufumbuzi... BI
Don't you know the problem behind? Ni kwamba picha zao lazima zihaririwe kuona sisi wananchi tutawachukuliaje, mchujo.
 
Status
Not open for further replies.
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom