Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa ameweka bayana kwamba chama hicho kikuu cha upinzani nchini hakitashiriki mdahalo wa wagombea Urais wa upinzani hapo kesho.
Kiongozi huyo aliyekuwa anasubiriwa na mamilioni ya Watanzania kwenye mdahalo huo ametoa sababu kubwa mbili kwa chama chake kutoshiriki...
Sababu ya kwanza ni kwamba CHADEMA bado haijampata mgombea Urais na mchakato wa ndani unaendelea.
Na sababu ya pili ni kwamba Ilani ya chama bado haijapitishwa na vikao vya juu vya chama hicho na itakuwa ni kichekesho kwenda kwenye midahalo bila kuwa na Ilani ya chama.
Dr Slaa amesema chama hicho kitakuwa tayari kushiriki midahalo ya aina hiyo mara taratibu za kumpata mgombea Urais zitakapokamilika ndani ya chama!
Ni mgombea wa kudumu, hana mpinzani.sasa amekimbia nini? kwani dr alisema anagombea urais?
Amemuogopa mwepesi.
Ni mgombea wa kudumu, hana mpinzani.
sasa amekimbia nini? kwani dr alisema anagombea urais?
Hahaa, bora wewe umesema ukweli kuwa anamuogopa Zitto.Amefanya jambo la maana sana kwani huu mdahalo haukuwa na nia nzuri .Zitto siyo size ya Dr.Slaa
subirini aseme kwanza, na zitto anagombea urais wa nchi gani?Ni mgombea wa kudumu, hana mpinzani.
CCM wameshafika zaidi ya 30, tuone kama CHADEMA baada ya Slaa atajitokeza mtu mwingine, akijitokeza unikate kidole.Lowasa naye hana mpinzani ccm?
Aliyetoa Acceptance kiasi cha kutangazwa Dr.Slaa kushiriki ni nani?
Siyo wagombea urais ndiyo wanaokwenda kwenye mdahalo, bali viongozi wa upinzani kujadili mchakato wa urais, inawezekana wewe hujui kinachoendelea kuhusiana na huo mdhalo huosubirini aseme kwanza, na zitto anagombea urais wa nchi gani?
kwani huu mdahalo una tofauti na ule waliokimbia watia nia wa ccm?Sasa wew unataka kusema nin , kwani makaidi, zitto wapi amesema anagomea uraisi
Hahaa, bora wewe umesema ukweli kuwa anamuogopa Zitto.