sasa mtoto kunaingiaje hapa na mambo ya siasa ukweli ndio tunaongea yanataka serikari tatu ili yapate madaraka halafu tukiwapa nchi itakuwa majanga wanataka kuruhusu pombe haramu si vijana wetu hawatafanya kazi CCM ndio chama makini nyingine ni za ukoo