MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Wakati Rais Jakaya Kikwete anaanzisha mchakato wa kupata Katiba mpya, wewe Mzee na wenzio wapinga maendeleo ndio mlikuwa wa Kwanza kupinga uteuzi wa JAJI WARIOBA kama mwenyekiti wa tume hiyo. Na mliweka kila aina ya vikwazo ili kukwamisha mchakato huu, huku mkisema Katiba mpya ni SERA YENU. Nimetazama Taarifa ya habari ITV saa mbili hii, Mnafiki Dr.W.Slaa anasema kuwa anaiunga mkono rasimu ya JAJI Warioba kwa asilimia mia. Hivi Dr.Slaa ni lini umekuwa mpenda maendeleo? Unasapoti Rasimu ya warioba kisa tu amependekeza serikali tatu kama nyie au kwa sababu ya Msimamo wa CCM kuhusu serikali mbili? Huu unafiki wako unaonyesha wewe haufai hata kupewa mamlaka ya kuwa mjumbe wa nyumba kumi.
hicho kizee kinatamani sana kingekuwepo BMK ili kilete fujo

Kuna watu wanakera sana, sio wapenzi wa maendeleo.
wewe huna hadhi ya kuandika kuhusu DR
Msalani leo kaleta thread,haaaah,haaah naona anaimba huku anatafuna karanga.Lete ushahidi kwa Dr.Slaa alimkataa Warioba
hicho kizee kinatamani sana kingekuwepo BMK ili kilete fujo
Dr. Slaa alishasema atahakikisha nchi haitawaliki ndiyo maana anakuwa mfitini.
"Akatanue" na mchumba wake.
Mzee msela.
mnafiki ni mwenyekiti wako wa ccm anaebadilisha kauli zake kila siku ili kufurahisha watu. Hana msimamo katika jambo lolote wala hawezi kusimamia kauli yake. Nidhaifu kwa kila kitu, kazi yake kuchekacheka tu. Hana sifa hata ya kuwa mkuu wa kijiji!Maisha anayoishi Dr. Slaa na anachokihubiri kwenye majukwaa inadhihirisha ni jinsi gani alivyo mnafiki.
Huyu Mzee madudu yake yote yanafahamika ndio maana watanzania wengi wanasita kumuita muadilifu...