Hivi hii nchi yetu inaelekea wapi jamani? yaani kweli inawezekana kutukuza criminals eti ni watu maarufu? Mtu ambaye alitaka kufanya utapeli mchana kweupe? watoto wetu tunawafundisha nini?
Kwa kweli issue ya Dr. Shika inanifanya baadhi ya waTanzania wenzangu niwaangalie mara mbili mbili!