Hivi hii nchi yetu inaelekea wapi jamani? yaani kweli inawezekana kutukuza criminals eti ni watu maarufu? Mtu ambaye alitaka kufanya utapeli mchana kweupe? watoto wetu tunawafundisha nini?
Kwa kweli issue ya Dr. Shika inanifanya baadhi ya waTanzania wenzangu niwaangalie mara mbili mbili!

wewe unaonekana habar za Dk Shika either unaadithiwa na wamama wanaopenda kukaa vibarazani, au utakuwa unasoma vichwa vya habar vya magazeti, kwenye mbao za wauza magazet alafu ununui gazet....