kina dr shika huwa wanakujaga kama popobawa,sijui mtu ametoka manyonya alivyompa ombaomba ela..wana mda wao nchi ikiwa kwe pressure ila ikiisha nao wanapotea..zinaitwagwa propagandaMwanzoni alikuwa lulu ghafla amepotea, kuna sehemu kapata ajira au fedha zimeshawasili?
Hakuwa tofauti na homa za vipindiMwanzoni alikuwa lulu ghafla amepotea, kuna sehemu kapata ajira au fedha zimeshawasili?
Matumizi yake yamekwisha.Mwanzoni alikuwa lulu ghafla amepotea, kuna sehemu kapata ajira au fedha zimeshawasili?
kwa kweli wewe ni mjasiriamali. Hela ambayo wangepata siku hiyo wasingejitaji kufanya kazi mwaka mzima. Hata hivyo msamaha wa JPM uliwa-surprise, hawakutajia!Hao walikosea timing yani ilifaa walipotoka tu jela wapige show taifa wangepiga hela ndefu sana
Siasa imewapotezaHao walikosea timing yani ilifaa walipotoka tu jela wapige show taifa wangepiga hela ndefu sana