Nimemuona leo jioni maeneo ya Sinza karibu na stendi ya Mawasiliano akitoka 'kazini'. Alikuwa kapendeza.
Ila alikuwa anatembea kwa mguu huku anaangalia chini.

Mie nawaona wasanii tu wale. Yule dogo aliandika waraka mreefu kuwa akipata msamaha wa rais, basi atafanya kazi ya kumsifu Mungu. Ametoka, anafanya kinyume kabisa. Akumbuke Mungu hadhihakiwi na yatamrudi!