Dr Shein azungumza na UVCCM

Dr Shein azungumza na UVCCM

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578




Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Jumuiya ya Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mjini kichama leo katika ukumbi wa CCM Amani Mjini Unguja na kuwataka Vijana kulinda Muungano na Mapinduzi ya Zanzibar, ikiwa ni katika hatua za uimarishaji wa Chama cha Mapinduzi
 
Hajiamini kabisa huyu bwana pamoja na kuachiwa uchaguzi na kuwa mgombea pekee!
 
Hajiamini kabisa huyu bwana pamoja na kuachiwa uchaguzi na kuwa mgombea pekee!
HAJAACHIWA

UJAMSIKILZA JECHA?????????? HAKUNA WADHAMINI WALIOOANDIKA BARUA YA KUMUONDOA MGOMBEA WAO.

NGOMA ISAMBE
 
Anaongea na vijana huko hakuna wazee kwa zanzibari?
 
Back
Top Bottom