"DR" Shayo the plagiarist

Profesa mmoja pale Udsm alitusimulia kisa cha profesa mmoja ambaye alimwamini sana mwanafunzi wake hata akatumia sehemu ya paper ya ya huyo mwanafunzi katika article yake. kumbe huyo mwanafunzi aliikopi moja kwa moja kutoka article ya profesa mmoja. basi wakati profesa mwenye hiyo origino akisoma article hiyo akagundua kuwa maneno yale yalikuwa ya kwake neno kwa neno. kilichofuata ni kizaazaa. yule profesa alivuliwa uprofesa na kusimamishwa kazi. NAMSIKITIKIA HUYU DR. KWANI PLAGERISM NI KOSA KUBWA SANA la kudhalilisha TAALUMA.
 
duh,JF noummeerrr,,,,mmemchambua mtu kila kitu,,,,,dah,,bora kuwa wa kawaida tu,,usupastaa gunia la misumari.
 

Nilikuwa nae JKT F-COY anajua sana kujipendekeza kwa MAAFANDE kwa MANUFAA yake

Mwenyewe ili asifanye kazi NGUMU na mtu mwingine akitumia njia anayotumia anamshitaki

Hafai kuwa kiongozi ana UMIMI; UBINAFSI; UNYAMA atapenda mtu mwingine ateseke

kuliko yeye na kukuambia wakati wewe unateseka yeye alikuwa wapi anaenjoy Maisha

THE PERSON IS AN OPPORTUNIST; hatari kweli kwa TAIFA letu; will be another NCHEMBA

Kwanini toka Aondolewe JINA toka kuwania UBUNGE EAST AFRICA hajawahi tena kuweka

HOJA ZAKE kwa MICHUZI au kwingine tena? kama ni kweli Mwanasiasa mwenye UCHUNGU

Wa NCHI HII na SIO OPPORTUNIST? SHAME ON HIM... MSIMTUKUZE MTU AMBAYE

Atatumaliza... Watanzania tunahitaji a FReE and INDEPENDENT News; Ambazo zitawagrill

all politicians from left right to get the truth about themselves... Tuwe waangalifu...

Anasifiwa na Mtu aliyepigwa BOGI...
 

Ana ambition za kugombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia ccm 2015!
 
Hivi huyu jamaa anatoa wapi ujasiri wa kujitokeza hadi kugombea nafasi za public office bila hofu yoyote?
 
Hiii ndo JAMII FORUMS

wengine wamekuja lakini wote wameishia njiani

Huyu hamaa watu walimuout zamaaaani lakini Mwakyemebe ameridhika naye

safi sana. Bongo kweli Tambarare, we always reward mediocres

 
Hawa ndio wasomi wenu na huyu ni product ya Kanisa. Mimi ameniudhi kutaja shule za seminary na anazitia aibu kwa sababu haiwezekani ikawa shule za seminary zikatoa mbumbumbu kama huyu

Lakini ndio kashapata na sitoshangaa akija kuwa waziri wenu huko baadae
 
hapa mimi naona ni wivu tuu

kweli jamaa ni mweupe kichwani lakini ndio kashakula dume tena
 
hapa mimi naona ni wivu tuu

kweli jamaa ni mweupe kichwani lakini ndio kashakula dume tena

Dr. Hildebrand Shayo, lazima nikupongeze. Subira uvuta Kheri. Kheri yako imefika mkuu. Mungu akutangulie katika majukumu yako mapya. Nakuombea ufanaka na mafanikio katika uteuzi wako mpya.

Wewe ni mmoja wa vijana mahiri ambao taifa letu limekawia kutumia vipaji vyao. Mwenzio Mashaka John naye inabidi arudi kulijenga taifa kuliko kutumwagia viingereza vyake vigumu kwenye mitandao

Shayo. Hongera ndg. Yangu, turudi kwetu vunjo tukaendeleze jimbo
 
Nimefunfua link jamaa ka-copy na ku-paste. Kwa nini ili kulinda heshima yake ya Phd hasingebadilisha hata kidogo akaweka kingereza chake au hakipandi? Uhenda ikawa hata Thesis zake alikuwa anaiba research za watu na kudefend kama yake.
Yeye kama Dr msomi alitakiwa asome article apate idea then ifanyie ukarabati kwa kuongeza na hoja zake na siyo kunyofoa kama original na kuchapika kwa Michuzi.
Dr Mwakyembe kakosea kumweka kwenye Board ya Wakurugenzi ya Bandari. haifai kabisa kuitwa katika jamii ya wasomi
 
huyu bwana sio Shayo in such shayo ni ukoo wa mama yake(Manyara) na amekulia kwa mjomba wake mzee Ezekiel Shayo so jina shayo ni la kusomea tu!
 
Mimi hata simlaumu huyu bali ninam QUESTION Ndugu Mwakyembe.

Ina maana kama nia yake ilikuwa ni ku balance dini na umri bas yeye kaona huyu ndio anafaaa?

Kwa nini asingefanya hata simple GOOGLE SEARCH na kujua anadeal na nani?

Kuna majina kibao kama alikuwa anataka vijana wapo akina:

NATHAN CHIUME
OMAR ILYAS

Lakini kuonyesha kuwa naye ni part of the problem kaamua kutuwekea hili puvu.
 

Hacheni wivu
 
KWA AIBU MICHUZI WALIFUTA LAKINI CAUTION IPO HAPA PIA: https://www.facebook.com/notes/dar-...rn-powers-democracy-at-the-ba/174919555889356

 
Inasikitisha sana...msomi huyu ana copy kila kitu:

ONA HII PIA:

A
pril 30, 2004


HII NDIO YA DR. SHAYO AMBAYO INA KICHWA CHA HABARI KINACHOFANANA KWA KARIBU KABISA UKIACHIA ILE ALIYO PLAGIARIZE KWA MMISRI :


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…