Dr Seng'odo Mvungi. Pamoja na kuwa mate wangu UDSM kwa mwaka mbele lakin wote tulikuwa tukikaa hall No 2. Nimekumbuka sana ucheshi, umahiri wako katika kujenga hoja lakin mwisho kwa kufanya sherehe yako ya kuzaliwa na kutulisha chakula cha wapare (Kishumba). Na siku zote katika uhai wake nilizoea kumwita mzee wa kishumba.
Mola akulaze pahala panapo stahiki.
Dr Hamza