Dr. Ntuyabuliwe .Lini alihitimu 'PHD' yake

Dr. Ntuyabuliwe .Lini alihitimu 'PHD' yake

usiambini

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
627
Reaction score
558
Just naomba kujua tu coz naona Dr Jacquline Foundation

images-2.jpg
 
Unamaana gani?
unauelewa wowote wa lugha ya kiha, kirundi na kinyarwanda?.
au kichina na kikorea?. Vip kuhusu
kihaya na luganda?

wanasemaga watanzania tukiulizwa swali huwa hatujibu badala yake na sisi tunauliza. Hii inaweza kuthibitisha hilo.
 
Unamaana gani?
unauelewa wowote wa lugha ya kiha, kirundi na kinyarwanda?.
au kichina na kikorea?. Vip kinahusu
kihaya na luganda?
Watu sikuhizi wamekuwa machizi fulani hizo lugha zinaingiaje na quote yangu nakushauri nenda kwa mwalimu wako wa shule akufundishe jinsi ya kutoa mifano inayoendana. Hili sio jukwaa la lugha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom