Dr. Ndalichako ndani ya tbc

Dr. Ndalichako ndani ya tbc

kookolikoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
2,800
Reaction score
694
anahojiwa na marini hassan, anasema wamebadilisha system ili makosa kama yaliyotokea kwenye Islamic Knowledge yasikirudie.
 
Aangalie wasije wakawapa marks za bure ili alinde kibarua chake. Kama makosa yalikuwepo warekebishe, lakini wasahihishe kwa haki, wawape wanachostahili.
 
mwambie mcheza karate ponda anamsubiri nje
 
Nataka mwandishi amuulize ni kweli NECTA wana chumba kinaitwa CHUMBA CHA KUTUNUKU????
 
anahojiwa na marini hassan, anasema wamebadilisha system ili makosa kama yaliyotokea kwenye Islamic Knowledge yasikirudie.

mtihani wa darasa la saba wa kuchagua majibu mpaa kwenye hesabu anauzungumziaje???
 
Aanagalie manake jamaa wakiapa huwa hawarudi nyuma!

toka niwe na akili zangu timamu sijawahi kuona wakishinda vita wala kusudio lolote kwani huwa hawaegemei kwenye haki. wao ni kulalamika tuuu.
 
hapa strategic ni wote kuwafaulisha watajuana huko huko kitaa . Wote wakipe A na B
 
Huyu naye akifa ataitwa mwanaheri amewasaidia sana
 
kawaida yao makafiri, wanafanya kila namna kuudidimiza uislam lakini hawatofanikiwa.
acha kudanganywa na akina ponda, uislamu haujaanza leo na hakuna mwenye ubavu wa kuuondoa duniani, wewe na mimi tutaondoka lakini dini ya mwenyezi mungu itaendelea kubaki.
 
kawaida yao makafiri, wanafanya kila namna kuudidimiza uislam lakini hawatofanikiwa.

Kwetu uislam ni ukafiri,sijui unazungumzia ukafiri gani,na huo uislam una kipi cha maana zaidi ya uvunjifu wa amani duniani.
 
kawaida yao makafiri, wanafanya kila namna kuudidimiza uislam lakini hawatofanikiwa.

Ninaomba TAFSIRI ya KAFIR. Je, Ni yeyote asiyekuwa MUISLAMU au hata MUISLAMU aweza akawa KAFIR? Na UISLAMU Ni Kubatizwa tu au kuishi kama anavyotaka MUUMBA?
 
Kwetu uislam ni ukafiri,sijui unazungumzia ukafiri gani,na huo uislam una kipi cha maana zaidi ya uvunjifu wa amani duniani.

Yeyote anayesema anampenda Mungu anawapenda na kuwaheshimu wengine, zikiwemo dini zao, atakachonifanya ni kuwaombea ili wamjue Mungu wa kweli na sio kashfa
 
Hivi nn hasa maana ya neno makafiri au kafiri????
je ni busara kumuita mwenzio hivyo..........???
kwa wale watumiaji je wao wangefurahi kuitwa hivyo???
 
Kafiri ni yule asiyetaka kumwabudu mungu badala yake ana abudu sanamu
 
Back
Top Bottom