johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,695
Si kwamba amehama lahasha bali sasa hataweza kushiriki siasa za moja kwa moja za CCM kutokana na majukumu mapya aliyonayo.Katika umri wake wa utumishi Nchimbi amekuwa akihudumu ktk ngazi mbalimbali za uongozi ndani ya chama.Hii ni mara ya kwanza CCM inamkosa Nchimbi ktk structure yake.Ni wazi viatu vyake yupo vinayemtosha.Ahsante!